jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,689
- 41,849
Mzigo uko vizuri.
#MaendeleoHayanaChama
#MaendeleoHayanaChama
Ngoja niutafute, huo mkao tu naona dramas za Queen Kane hizi hapa
Ila kwa upande mwengine nilimuelewa kama anaishi kwenye Dunia ambayo anakua hunted bora basi ajibadili ilikuendana na hao wanavyotaka ukizingatia ni future King.Nilikua namuona alikua ndezi kitambo tu.."et i have seen enough"..alizingua.
#MaendeleoHayanaChama
Iko poa sana kuna ndugu yangu yeye kaimaliza yote ndio alinishawishi kuiangalia ila ndio vile tenaMimi nilianza kuangalia Ep 1 mwezi march ila nikaipotezea. Now nimeianza upya niko ep 6 ni nzuri huku mbele Hasa kama unapenda masuala ya Time Traveling.
Well, it's superhero series
Wakuu kuna series za fbi,fbi most wanted na fbi international,naona zimetoka season zingine hivi karibuni,ila kila nikijaribu kuzitafuta kwenye pirates bay na 1337× sizioni,anaejua njia nyingine ya kudownload zaidi ya torrent naomba anielekeze
Naomba link tafadhaliItafuteni series hii "The innocent" ya kispania ya 2021 ni nzuri Sana inahusu jamaa ana kuwa suspect kwenye mauaji ambayo hahusiki nayo na hii ni kwasababu anahistory mbaya baada tu ya kutoka jela kwa kesi ya kuua.wakuu hii series ni fire ina story nzuri yenye unyama mwingi ndani yake
Naona telegram wameweka woteSites za torrents zimevujisha mzigo wa Gangs of London season 2 dadekiiii maana mzigo rasmi unatoka November![]()
Chanel ip niichukue mkuuNaona telegram wameweka wote
Yeah! MzeeNaona telegram wameweka wote
Nenda netnaija.com au andika google The innocent kimoitv utaikutaNaomba link tafadhali
Cheki nyingine inaitwa big mouth nayo ni ya kikorea ni Kali mno kuliko hata hiyo Mara mbili yake kuanzia story mpaka mtitiririko wa matukioSeries ya kikorea ADAMAS unyama mwingi![]()
Guy I tell you what? You are amazing.!!!! Thank you for this update.Sites za torrents zimevujisha mzigo wa Gangs of London season 2 dadekiiii maana mzigo rasmi unatoka November 🤣🤣🤣
The las ship nzuri sana. Ndo zile aina ya series unaweza kesha unaangalia coz unataka kujua mbele kunanini.Nlkua sipendi series zamani ila kwa sasa nmekua addicted na mpaka sasa nmecheck series baadhi na sasa npo na hiyo THE LAST SHIP
Sijui kwanini sikuielewa..nilikomea episode ya pili season 1.Gangs of London season 2 yamoto sana



Umeipatia wapi mkuu?Gangs of London season 2 yamoto sana