jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,689
- 41,849
#MaendeleoHayanaChama
Ishatoka?
Hii series haina uhalisia kabisa 100%#MaendeleoHayanaChama View attachment 2388128
Imeisha..ila nmeikubali sana..jamaa wamefanya kitu tofauti sana hizo naziita big minds.Hii series haina uhalisia kabisa 100%
Baba Voss mtu hatar sana, after death of general Edo moto ukawa mkali sanaImeisha..ila nmeikubali sana..jamaa wamefanya kitu tofauti sana hizo naziita big minds.
#MaendeleoHayanaChama
Unataka uhalisia upi?Hii series haina uhalisia kabisa 100%
Hajui series huyoImeisha..ila nmeikubali sana..jamaa wamefanya kitu tofauti sana hizo naziita big minds.
#MaendeleoHayanaChama
Labda alitaka kuona vipofu wale wanaojipanga pale Posta wakiomba ombaUnataka uhalisia upi?

..... Nilidhani yeye, Maghra na Twins wataenda kuishi maisha yao ya zamani kama walivyokubaliana 
Mmh ndo umenikalia kooni ,dah nazitak izo final season ngoja ntafute chimbo la wifi kaliii nijisevieNilitoa chozi kifo cha Lord Harlan yule jamaa nilikua namkubali sana ucheshi wake lakini nilipiga kelele kifo cha Baba Voss..... Nilidhani yeye, Maghra na Twins wataenda kuishi maisha yao ya zamani kama walivyokubaliana
![]()
Tulia wew Haniwa ,mm kaka ako Kofun😅😅😅Labda alitaka kuona vipofu wale wanaojipanga pale Posta wakiomba omba![]()
Inakuaje dogo Kofun anamtia mimba mama ake mkubwaa huoni hakuna reality😃😃Hajui series huyo
Nimekupata KofunTulia wew Haniwa ,mm kaka ako Kofun![]()
sema umezingua umejipofua ili ufanane na mwanao 
Huwezi amini naiangalia nusu naacha,Umbrella Academy nani kaiangalia???
Kind of interesting...
Mimi nilianza kuangalia Ep 1 mwezi march ila nikaipotezea. Now nimeianza upya niko ep 6 ni nzuri huku mbele Hasa kama unapenda masuala ya Time Traveling.Huwezi amini naiangalia nusu naacha,
Sijui kwanini hainipi vibe la kuiangalia yote ila ni nzuri sana kwa kweli
Yani acha tu..jamaa aliamua kusacrifice.Nilitoa chozi kifo cha Lord Harlan yule jamaa nilikua namkubali sana ucheshi wake lakini nilipiga kelele kifo cha Baba Voss..... Nilidhani yeye, Maghra na Twins wataenda kuishi maisha yao ya zamani kama walivyokubaliana
![]()
Nilikua namuona alikua ndezi kitambo tu.."et i have seen enough"..alizingua.Nimekupata Kofunsema umezingua umejipofua ili ufanane na mwanao
![]()