Series (Special thread)

Series (Special thread)

kuna mtu kaicheki? nimeangalia trailer inaonekana kali


AAAABQ2_7Bs_3heonYSl08piGeYF-Lpzle1bxt-HbG_OHpUwffywho1OfqGWM9HKONyUwshQqAkuhWE5CBPA-31ILADMvU...jpg
 
Wakuu hii House of dragon mbona kama haina mzuka kabisaa maana kila episode naiona haijakaa poa
 
Mwenye series hapa Dar..., sandman & succession na nyingine anisaidie na drown kudownload Hii mitandao kila siku inanipandishia gharama
432A28D4-0426-4B4C-9F77-3E4377F9319B.jpeg
 
TERMINAL LIST

Inahusu Mambo ya Covert Operations

Seal Team wamepewa op kumfuata mtu fulani, kumbe ni mtego

Wakafa akabaki 1

Huyo mmoja baadae akafatilia akagundua ni setup, na imefanywa na wakubwa wake

Kumbe walipewa dawa za majaribio na majaribio yakaenda vibaya wote wakaota uvimbe kichwani, hivyo wahusika wakaona wateketeze kikosi chote

Baada ya kufatilia na kuua watu wote, akabaki 1 kumbe ni mtu wake wa karibu, na amekuwa naye kwenye op ya kuua wahusika wote
Hii nshaimaliza ni hatari nliipenda..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom