Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 769
Hahaha hata huu mzigo ulikuwa unaupita? Duuh!Nilikuwa naipita tu SNOW FALL kitu hatari sana
Hahaha hata huu mzigo ulikuwa unaupita? Duuh!Nilikuwa naipita tu SNOW FALL kitu hatari sana
Mzee upo mwanza?Nilikuwa naipita tu SNOW FALL kitu hatari sana
Torrent Gani unatumia maana kwangu nyingi naona zinazinguaTorrent ipo pia telegram... Hizi series mimi huwa napakua kwenye torrents huko naonaga ni rahisi zaidi...
Natumia Thepiratebay, Torrentgalaxy, 1337x hizi sites 3 sijawahi kosa mzigo...Pia in addition natumia telegram...Torrent Gani unatumia maana kwangu nyingi naona zinazingua
Duuh process ndefu sana,Natumia Thepiratebay, Torrentgalaxy, 1337x hizi sites 3 sijawahi kosa mzigo...Pia in addition natumia telegram...
Wengi wanapata shida ku download TORRENTS hasa kwa kutumia hizi TORRENT CLIENTS sijui BiTorrent, Fluid, uTorrent na nyingnezo... Mimi leo nawapa shortcut ya kudownload kwa IDM ya PC, Just tafuta Torrent file ako yenye SEEDERS wengi kulko LEECHERS hii sote tunajua ili Torrent iweze kudownloadika kwa uharaka zaidi lazima namba ya SE iwe kubwa kuliko LE. Yaani kwa lugha rahisi namba ya wanaoi share hiyo file (SEEDERS) LAZIMA iwe kubwa kuliko wanao ifikia/download (LEECHERS)....
Haya ukishafanya machaguzi yako ipi inakufaa copy link ya MAGNET link ya hiyo TORRENT then njoo upaste kwenye site ya webtor.io then itaload kwa secs kadhaa hii inategemeana na kasi ya mtandao wako baada ya hapo utaona sehemu imeandika download, itafanya miracles by then IDM ita pick na ku pop-up link ikiwa tayari kudownloadika kwa IDM.. Ukiona mapicha picha webtor inaload load bila mpangilio au ina suck just use VPN... Ndiyo njia natumia kila siku nashusha hata 15GB za movies kwa TORRENTS na hii njia.
Kudownload TORRENT kwa simu haina ugumu hata, Tumia app ya 1DM+ hii app ni amaizing inafanya kazi kama IDM ya PC uzuri ina download hadi TORRENTS vizuri kabisa huitaji kuweka app ya ziada, kama wewe ni mtundu wa kudadisi apps na simu unaweza ichokonoa kuongeza download speed.. Ina speed sana kwa kudownload file yoyote..
Duuh process ndefu sana,
Telegram ni mkombozi wangu
Kwa mwanamke hiyo process ndefu sanaUmesoma maelezo nmechambua vitu vingi vingi ndo ukaona kama process ni ndefu but ni mambo ya ku copy na paste link tu hakuna cha process ndefu hapo.. Thus why unaweza amua kutumia telegram pia..

Hahaaa hata mimi nmegundua hilo bro.. Ila ni very easy hakuna hata hidden trick hapo...
Sawa mkuu nimekupataTorrent ipo pia telegram... Hizi series mimi huwa napakua kwenye torrents huko naonaga ni rahisi zaidi...
Walter si alikufa, Jesse ana movie yake muendelezo ya Breaking Bad ...Mlioangalia Better Call Saul, mbona nipo season ya mwisho na mpaka sasa episode ya 10 hii sijawaona Walter White na Jesse Pinkman?
Hujaelewa. Soma tena vizuri.Walter si alikufa, Jesse ana movie yake muendelezo ya Breaking Bad ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii recommend niliitoa mimi aisee shukrani kwa appreciationAsante kwa Recommends naenjoy The Innocent iko njema.
#MaendeleoHayanaChama
Aanze na FaudaYes ni nzuri sana inavutia!
Tafuta Homeland, FAUDA, Endgame pia na Reacher.... Naamini mojawapo itakuvutia.
Homeland mbona ilinishinda licha ya kurudia vipande kadhaa mara nyinginyingi ? Inanini humoYes ni nzuri sana inavutia!
Tafuta Homeland, FAUDA, Endgame pia na Reacher.... Naamini mojawapo itakuvutia.
Mimi alvokufa tu Brody nimeishia hapo hapo...Homeland mbona ilinishinda licha ya kurudia vipande kadhaa mara nyinginyingi ? Inanini humo
Fauda iko poa, nasubiria mwendelezo wakitoa...Aanze na Fauda
Prison Break haitachuja kamwe...Movie ya akili sana.kwangu hizi ni moja filamu series za kizungu ambazo nimetazama na kunivutia
Merlin
prison break
seaker
game of thones
the walking dead
into the badland
SEE
Lord of yhe Rings
The Whitcher
na baadhi sizikumbuki ila hizo ndio bora wangu