Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kila episode inakutamanisha kujua nini kitafuata.

#MaendeleoHayanaChama
Ina mkong'oto unaosababisha usikae vizuri kwenye sofa wakati unaitizama au ni zile zinakufanya unasinzia😑😑😑
 
Ina mkong'oto unaosababisha usikae vizuri kwenye sofa wakati unaitizama au ni zile zinakufanya unasinzia
Hakuna ngumi wala mkongoto..ila ni kastory flanj hivi katamu sana...inahusu mauaji yanayotokea katika nyumba ya wapangaji wengi waniita arconia.

Hao watatu Charles..Mabel na Oliver wanajikita kutengeneza podcast kuhusu mauaji ndanj ya arconia huku wakitafuta chanzo cha vifo hivyo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hainifai🙁🙁🙁🙁🙁
 
Any series to recommend nicheki wikendi hii.

Iwe from netnaija naija mana ndio napakuliaga series tokea huko.

#MaendeleoHayanaChama
 
The Capture iko poa sana, asante kwa aliyerecommend...ndo namalizia season 2 hapa
 
Wakuu kuna series za fbi,fbi most wanted na fbi international,naona zimetoka season zingine hivi karibuni,ila kila nikijaribu kuzitafuta kwenye pirates bay na 1337× sizioni,anaejua njia nyingine ya kudownload zaidi ya torrent naomba anielekeze
 
  • Thanks
Reactions: _ly

Majina yake ndio hayo fbi fbi most wanted na fbi international?
 
Majina yake ndio hayo fbi fbi most wanted na fbi international?
Yah mkiu,ni series 3 tofauti
Screenshot_20221010-165852_Chrome.jpg
Screenshot_20221010-165931_Chrome.jpg
Screenshot_20221010-170013_Chrome.jpg
 
Kwa walioangalia Better Call Saul, kuna baadhi ya episode inaanza na black and white. Hivi ile ni inaelezea story ya nyuma au ya baadae?
Rangi - story ya kabla (zamani)

Black&white - hali halisi ya sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom