moft
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 271
- 228
Ingia watchsomuch utaikuta mkuu ni moto wa kuotea mbaliUmeipatia wapi mkuu?
Ingia watchsomuch utaikuta mkuu ni moto wa kuotea mbaliUmeipatia wapi mkuu?
We unafeli ss ni balaaSijui kwanini sikuielewa..nilikomea episode ya pili season 1.
#MaendeleoHayanaChama
Yes ni nzuri sana inavutia!The las ship nzuri sana. Ndo zile aina ya series unaweza kesha unaangalia coz unataka kujua mbele kunanini.
Homeland naingalia mara nyingi nyingi ila sijaimaliza hivi ina season ngpiYes ni nzuri sana inavutia!
Tafuta Homeland, FAUDA, Endgame pia na Reacher.... Naamini mojawapo itakuvutia.
Moja ya series ambayo nairuka karibu mwaka wa pili sasa ni hii, hivi n kali sana???Designated Survivor![]()
Yan hili dude sijui kwa nini nilikaa nalo kwa pc zaid ya miaka miaka miwili sina time nalo. Ni motoo sana kwa kweli. Nimemaliza S1
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naipataje hiiGangs of London mzikiii na nusuuuu![]()
Kali season 1 tu, season tu waliharibu.Moja ya series ambayo nairuka karibu mwaka wa pili sasa ni hii, hivi n kali sana???
Ina season 8Homeland naingalia mara nyingi nyingi ila sijaimaliza hivi ina season ngpi
Ziko 8Homeland naingalia mara nyingi nyingi ila sijaimaliza hivi ina season ngpi
Torrent ipo pia telegram... Hizi series mimi huwa napakua kwenye torrents huko naonaga ni rahisi zaidi...Mkuu naipataje hii
Bora, nilikuwa nawaza kuipakua. Basi tenaHii series haina uhalisia kabisa 100%
Kama unataka ya Quality ya 480p nenda site ya NKIRI.com huko utapata season ya aina yoyote sijawahi kuona jamaa kakosa mzigo wa series labda chache sana pia ziko encoded na subtitles kabisa, Pia ku download hasumbui ni one click tu una download...Mkuu naipataje hii
nkiri.com
Mkuu naipataje hii
nkiri.com
Kali tu. Kwa kwel nimeipenda.Moja ya series ambayo nairuka karibu mwaka wa pili sasa ni hii, hivi n kali sana???
Duuh, alafu season 2 nimepiga episode mbili tu. Nasikilizia upepo kusonga nayo
Mama mtata huyu