Series (Special thread)

Series (Special thread)

TERMINAL LIST

Inahusu Mambo ya Covert Operations

Seal Team wamepewa op kumfuata mtu fulani, kumbe ni mtego

Wakafa akabaki 1

Huyo mmoja baadae akafatilia akagundua ni setup, na imefanywa na wakubwa wake

Kumbe walipewa dawa za majaribio na majaribio yakaenda vibaya wote wakaota uvimbe kichwani, hivyo wahusika wakaona wateketeze kikosi chote

Baada ya kufatilia na kuua watu wote, akabaki 1 kumbe ni mtu wake wa karibu, na amekuwa naye kwenye op ya kuua wahusika wote
Nimeiona ya kawaida sana
 
Tehran imepooza kwa wale wazee wa mikikimikiki siwashauri mi nilivyoona humu wanaisifia nikaishusha, nijpo ep5 bado sijaona maajabu wengine tunapenda kuona damu inamwagika muda wote mpaka ep5 wamekufa watu wawili na ndio nimeona bastola,bora Terminal list

Hata mim movie au series za hivyo zinaboa
 
Walio angalia series kupitia netnaija tupeni basi info kuhusu ipi series nzuri tuipakue.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huu mzigo uko vizuri 🔥🔥 aisee ila kama ni muangaliaji wa series na sio kutaka vitu vyako viwemo kwenye series
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    35.5 KB · Views: 55
Naombeni msaada wa site nitakayoweza kudownload ALL THE QUEENS MEN SEASON 2
 
Wadau kuna series inaitwa The club ya kutoka MEXICO ipo Netflix ila nimehangaika kuitafuta Telegram na kwenye sites za torrent huko kote nimeikosa na najua kinachofanya nisiipate ni jina la kihispania wanalotumia huko...So kama una link nitumie
mKUU mimi ALL THE QUEENS MEN SEASON 2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom