Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,122
Deep State







Kweli kuna watu wanaiendesha dunia aisee








Kweli kuna watu wanaiendesha dunia aisee











Nasubiri muendelezo tuKama umeshawahi kuangalia movie za RESIDENT EVIL ,na ile RESIDENT EVIL RACOON city basi
Kaangalie series yake ya RESIDENT EVIL SEASON 1 , unyama mwingiii
Imeishia patamu sana. Ila Billie ni jinga sana aiseeNasubiri muendelezo tu
Ukimaanisha house of the dragons ryt?!
Ii move ilifika mahali season kama ya 5 sikumbuki but ep ya 90 na sikuipenda tena baada ya yule dogo kufaNdo nimeanza The Walking Dead niko Season 2
Naam...hii ni mashine.
Kaka huo mzigo Ni noma Sana wanaosema haupo sawa sijui wanawaza nini ,mossad Ni nomatuliza ubongo tu vizur.... Tehran imeanza kuwa ya moto sana hasa hii season two ndo unaanza kuona utamu wake sasa.... Kuna series huwa zinaanza zimepoa km breaking bad ila season inayofuata ndo hutamani hata kwenda dukani.... aseeeee Tehran ni hatari...narudia tena ...ni fayaaaaaaaaaaa
Ukumbuke wakati anaenda america general Mohammed hakuwa kwa kile cheo kuhusu magari ya kimarekani kuwa Iran sio issue kubwa sababu wanaweza kuagiza kutokea nchi nyingine then yakatumika iranKuwa demu tayari ni mtafutwa, ila database za watafutwao hazimsomi....
Eti mtoto wa kamanda mkuu anasoma Marekani wakati Marekani na Iran wana uadui toka 79
Eti wanaenda endesha magari ya kimarekani lastest wakati Marekani hauzi kitu kwa Wairan
tehransijaona utamwakeKama haujatizama Tehran basi ujue umekosea burudani
Series mbovu kabisa najuta kupoteza bando langu, mission za kitoto, yule jamaa anauliwa mwishoni pale season 2 ilitakiwa afe zamani sana ila wanarefusha tu maisha yake, demu mosaad anajulikana lakini anapuyanga mpaka hadi kwa wasaidizi wa ayatollahtehransijaona utamwake
Hiyo ndo shida ya kuwasikiliza mashabiki ile series ilitakiwa iishe season 1 ila kutokana na maoni ya mashibiki apple wakaamua kuongeza season 2 mwisho wake wameleta kitu cha watoto wa chekecheaSeries mbovu kabisa najuta kupoteza bando langu, mission za kitoto, yule jamaa anauliwa mwishoni pale season 2 ilitakiwa afe zamani sana ila wanarefusha tu maisha yake, demu mosaad anajulikana lakini anapuyanga mpaka hadi kwa wasaidizi wa ayatollah
Achana nao mwanangu wewe endelea sio kila kitu tuipende wote kuna kuelewa series na kutaka wewe uone matukio fulani yanatokea kwenye iyo series yalipotokea basi unaanza kuponda alafu kitu unachokisifiwa kinapondwa pia ndio tabu ya watu wengi.Ukumbuke wakati anaenda america general Mohammed hakuwa kwa kile cheo kuhusu magari ya kimarekani kuwa Iran sio issue kubwa sababu wanaweza kuagiza kutokea nchi nyingine then yakatumika iran
Iko hadi mwisho?