Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 769
Tuko pa1 mkuuAsante Baharia...
Umenisaidia nisipoteze 10K maana ilibidi nijisalimishe bob paak
Tuko pa1 mkuuAsante Baharia...
Umenisaidia nisipoteze 10K maana ilibidi nijisalimishe bob paak
Ila tatizo imeungwa hadi Season 5 nifanyeje nipate season 2 pekee maana najaribu andika inakataaTuko pa1 mkuu
Haijaungwa hadi season 5 sema zipo seasons zote 5 😃.Ila tatizo imeungwa hadi Season 5 nifanyeje nipate season 2 pekee maana najaribu andika inakataa
Nimeimaliza leo aisee..ikoHALO S01 ongoing aisee moto wa kuotea mbali mambo ya techs & space![]()


...master chief anaupiga mwingi na timu yake ya Spartans.Ile ilikuwa planned tu, target ilikuwa yule mdada muisrael Tamal ashuke wafanye exchange na yule muiran...so haikuwa na hitilafu wala nini au ilikua hitilafu ndogo ya kutengeneza tu!Mkuu hivi Tehran season1 kama ulielewa....ile emergency ya ndege ilikuwa planned? What if ndege isingepata itilafu na kutua Tehran ingekuwaje?
Pakua ipo vzr sana!Tehran vipi wakuu!!???
Ishafika episode ya ngap ...Pakua ipo vzr sana!
Ipo season 1full n 2 E5Ishafika episode ya ngap ...
Nami pia nimeielewa sana Halo.Nimeimaliza leo aisee..iko...master chief anaupiga mwingi na timu yake ya Spartans.
Ngoja tusubiri S2.
#MaendeleoHayanaChama
Shukran ngoja niipakueIpo season 1full n 2 E5
Ipo season 1full n 2 E5
Dah hivi season 1 we ulielewa jamaa kilichokuwa kinamkimbiza?Habari nzuri kutoka Apple+ tv
Hahahaha iyo tutajua season 2 manDah hivi season 1 we ulielewa jamaa kilichokuwa kinamkimbiza?
Alaf hii haina tofauti na The Tourist,unajikuta tu umemaliza episodes zote.