Series (Special thread)

Series (Special thread)

TERMINAL LIST

Inahusu Mambo ya Covert Operations

Seal Team wamepewa op kumfuata mtu fulani, kumbe ni mtego

Wakafa akabaki 1

Huyo mmoja baadae akafatilia akagundua ni setup, na imefanywa na wakubwa wake

Kumbe walipewa dawa za majaribio na majaribio yakaenda vibaya wote wakaota uvimbe kichwani, hivyo wahusika wakaona wateketeze kikosi chote

Baada ya kufatilia na kuua watu wote, akabaki 1 kumbe ni mtu wake wa karibu, na amekuwa naye kwenye op ya kuua wahusika wote
 
Tehran overrated kawaida sana
tuliza ubongo tu vizur.... Tehran imeanza kuwa ya moto sana hasa hii season two ndo unaanza kuona utamu wake sasa.... Kuna series huwa zinaanza zimepoa km breaking bad ila season inayofuata ndo hutamani hata kwenda dukani.... aseeeee Tehran ni hatari...narudia tena ...ni fayaaaaaaaaaaa
 
Kuna mzigo unaitwa black bird ndo umetoka hv karibun kwa wale wapenz wa crime drama huu mzigo siyo wa kukosa
 
tuliza ubongo tu vizur.... Tehran imeanza kuwa ya moto sana hasa hii season two ndo unaanza kuona utamu wake sasa.... Kuna series huwa zinaanza zimepoa km breaking bad ila season inayofuata ndo hutamani hata kwenda dukani.... aseeeee Tehran ni hatari...narudia tena ...ni fayaaaaaaaaaaa
Tatizo mission zake za kitoto sana kama alivyosema jamaa juu kwamba director kazingua,yani kuna sehem dem anatakiwa akamatwe kabisa lakini hakamatwi
 
Kuwa demu tayari ni mtafutwa, ila database za watafutwao hazimsomi....

Eti mtoto wa kamanda mkuu anasoma Marekani wakati Marekani na Iran wana uadui toka 79

Eti wanaenda endesha magari ya kimarekani lastest wakati Marekani hauzi kitu kwa Wairan
 
Dem mossad yupo Iran na anajulikana mpaka sura, anatafutwa lakini anapuyanga mpaka kwenye nyumba ya mtoto wa mkuu wa majeshi mixa hadi kituo cha police kote hawamtambui.
Naiangalia sababu ya bando langu lisiende bure.
 
TERMINAL LIST

Inahusu Mambo ya Covert Operations

Seal Team wamepewa op kumfuata mtu fulani, kumbe ni mtego

Wakafa akabaki 1

Huyo mmoja baadae akafatilia akagundua ni setup, na imefanywa na wakubwa wake

Kumbe walipewa dawa za majaribio na majaribio yakaenda vibaya wote wakaota uvimbe kichwani, hivyo wahusika wakaona wateketeze kikosi chote

Baada ya kufatilia na kuua watu wote, akabaki 1 kumbe ni mtu wake wa karibu, na amekuwa naye kwenye op ya kuua wahusika wote
Alimlipua kwenye boat.na yeye alaenda calbo del gado.namaquia de Moqambique
 
TERMINAL LIST

Inahusu Mambo ya Covert Operations

Seal Team wamepewa op kumfuata mtu fulani, kumbe ni mtego

Wakafa akabaki 1

Huyo mmoja baadae akafatilia akagundua ni setup, na imefanywa na wakubwa wake

Kumbe walipewa dawa za majaribio na majaribio yakaenda vibaya wote wakaota uvimbe kichwani, hivyo wahusika wakaona wateketeze kikosi chote

Baada ya kufatilia na kuua watu wote, akabaki 1 kumbe ni mtu wake wa karibu, na amekuwa naye kwenye op ya kuua wahusika wote
Same story na The punisher
 
Mzigo wa moto sana
images%20(8).jpg
View attachment 2309093

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: 911

Similar Discussions

Back
Top Bottom