Series (Special thread)

Series (Special thread)

The Old Man
Bonge la Series
Inahusu CIA ,Afghanstan etc

Babu kawaweka watoto wake 2 CIA bila wao kujua kuwa ni watoto wake

Babu pia akapendekeza mjukuu wake aingie FBI, akawa chini ya Mwanae, bila mwanae kujua

Mwisho wa siku Babu anatuma watu wawaue watoto wake wote ili habari isijulikane
 
Tayari nishaikubali hapo tu usieleze zaidi
 
Tehran imepooza kwa wale wazee wa mikikimikiki siwashauri mi nilivyoona humu wanaisifia nikaishusha, nijpo ep5 bado sijaona maajabu wengine tunapenda kuona damu inamwagika muda wote mpaka ep5 wamekufa watu wawili na ndio nimeona bastola,bora Terminal list
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom