Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mie mpenzi sana wa senema za aina zifuatazo naomba mnitajie;
Za mapigano ya kijeshi inayohusisha vifaru.
Za kijeshi zinazohusisha ndege hapa daah!!
Zinazohusu maharamia wa madawa ya kulevya na harakati zao.
Mfano Kuna moja ilioneshwa Azam kama sikosei inatwa American made nililipenda sana.(jamaa alikua rubani wa America akawa anaenda kubeba madawa kwa siri daaaah tamu sana)
Naziomba kama mnazo.
 
Habari
Wanabodi ule mzigo wa the bureau nimeuelewa ila nimeishiwa mbinu za kupakuwa mzigo kamili. Hado sasa nina season 01 ila nami nna tatizo nikianza kuangalia series huwa sipendi kukatisha kwaiyo naombeni mniwezeshe kushika link zake zilizobakia tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom