Series (Special thread)

Series (Special thread)

Tumekubaliana kuwa hakuna series nyingine kali? Kama ipo iandike hapa turuke nayo
 
season 2

23_04_2021_10_34_41_3213496.jpg
 
dah kwenye kuelezea mimi sio mzuri sana ila inahusu mambo ya espionage

China na Russia kuingilia mitambo ya UK

Mambo ya mi6, cia n.k
Niliiweka pending muda sasa ngoja niipakue tu....
Isijekuwa kama the Bodyguard ilivyokuwa afu wakai cancel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom