Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,294
Season inatoka lini?Mosquito coast....iko vizur kias chake
Season inatoka lini?Mosquito coast....iko vizur kias chake
Ila wahuni mwisho wakamgundua hahahThe Spy nisikuwahi kuiona awali ila baada ya kuicheki nimeikubali...mtaalam Eli Cohen
Ila wahuni mwisho wakamgundua hahah
Anyway ile ni story ya kwel lakin...
Mkuuu kwan Tehran imeshatoka mwendelezo wakoYeah! Ila mimi series ya SEE ndio iliyonifanya niipende iyo Tehran na nyingine
Yeah! Imeshatoka mbona ipo episode ya 3 tayariMkuuu kwan Tehran imeshatoka mwendelezo wako
Baharia unaezanisaidia link ya Tehran Telegram? Nasearch inagomaYeah! Imeshatoka mbona ipo episode ya 3 tayari
Baharia unaezanisaidia link ya Tehran Telegram? Nasearch inagoma
Mkuu hii kitu ni balaa. Wamarekani hawaamini wanavyopigwa na warusi aiseKama unapenda ujasusa chukua na hii THE AMERICANS, tumezoea kuona movie nying CIA wanawazidi akili warusi kwenye ujasusi, kwenye hii series wamarekani wanapigwa matukio hapohapo sebuleni kwao na warusi View attachment 2196286
Thanks bro
Sijui shida nn ila kwangu movie nying na series nadownload humu bila shidaBoss nimeingia kwenye hiyo link
kweli inahusu movies na series
sasa nimeipenda moja ina 700MB
Kweli nimeidownload
hadi ikakamilika
sasa shida ikaja kuifungua
ikagoma kuwa
NO PREVIEW
Kipi hujakipendaMimi tbh sijaipenda
Mkuu hivi Tehran season1 kama ulielewa....ile emergency ya ndege ilikuwa planned? What if ndege isingepata itilafu na kutua Tehran ingekuwaje?Thanks bro
Hata mimi nimeshindwa kuangalia kwa sababu hiyo.The bureau, inanitatiza subtitles nyingi haziingiliani kabisa, maneno huchelewa....
Nimetoa link ya torrent huko nyuma ikiwa na seasons zote na subtitles iko vizuri tu nashangaa sijui mnadownload ipi?The bureau, inanitatiza subtitles nyingi haziingiliani kabisa, maneno huchelewa....
Hii hapo link The bureau ambayo huna haja ya kutafuta subtitles ☝️Mimi nimeshusha hii ambayo ina GB 9.8 kuanzia season 1 mpaka ya 5.
Download The Bureau AKA Le Bureau des Légendes S01-S05 (EN subs) 720p.10bit.BluRay.x265-budgetbits Torrent | 1337x
The Bureau AKA Le Bureau des Légendes S01-S05 (EN subs) 720p.10bit.BluRay.x265-budgetbitswww.1337xx.to
Asante Baharia...Hii hapo link The bureau ambayo huna haja ya kutafuta subtitles![]()