Yeah! Kwenye s06....Daah! So sorry mzee umejua kinachotokea mbele ya series wakati wewe bado uko nyuma kitu ambacho mimi sikipendi piaKwa hyo Ghost atakufa?
Hapana hatokufa kisa Angela bali itafika kipindi watu wote watamchukia kwasababu zao binafsi that's why series inaitwa power na pia Angela atakufa piaKisa Angel nini?
Nikishaona Apple TV plus basi lazima nikautafute huo mzigo maana tangu ianzishwe tv shows zao zote kali kwa upande wangu
Yeah! Alimpenda sana Holly ila ukichunguza story ya Tommy ni kuwa alikuwa hajapata upendo wowote kwa wazazi wake ambao ndio watu muhimu kwenye maisha yake akaja kupendwa na watu baki so iyo ndio inamfanya awe na roho mbaya ukiwa snitch kwake na pia awe Loyal ukitokea kumpenda.Holly alimnyongelea mbali, ila alikapenda sana kale kademu
Sasa kama aliweza kumuondoa mpka baba ake kuna mtu hapo?
Ila sema hii power book IV kama siielewi vile..
Yupo seasons za mwanzo huko bado hajafika hukoUnasubiri nini kuiangalia?
Kweli ni series ila hapo kunaweza kuwe mwisho au waamue waendelee s06 ila wakiwa na characters wapya na ubaya wa hii biashara ni kuwa ukiweka characters wapya basi na fans wanapunguaWakuu huu uzi mzuri sana.mliorecommend hii series pamoja kutuwekea link zake,subtitles.pongezi kwenu aisee!
Bonge moja la series ya kijajusi hasa!
Hatimae nimeimaliza na kufurahishwa nayo mno!View attachment 2195921
HakikaKweli ni series ila hapo kunaweza kuwe mwisho au waamue waendelee s06 ila wakiwa na characters wapya na ubaya wa hii biashara ni kuwa ukiweka characters wapya basi na fans wanapungua
Mimi nipo season 2Wakuu huu uzi mzuri sana.mliorecommend hii series pamoja kutuwekea link zake,subtitles.pongezi kwenu aisee!
Bonge moja la series ya kijajusi hasa!
Hatimae nimeimaliza na kufurahishwa nayo mno!View attachment 2195921

mpk nifike 6 nahisi kifaransa kitakua kinapanda vyemaKama unapenda ujasusa chukua na hii THE AMERICANS, tumezoea kuona movie nying CIA wanawazidi akili warusi kwenye ujasusi, kwenye hii series wamarekani wanapigwa matukio hapohapo sebuleni kwao na warusiWakuu huu uzi mzuri sana.mliorecommend hii series pamoja kutuwekea link zake,subtitles.pongezi kwenu aisee!
Bonge moja la series ya kijajusi hasa!
Hatimae nimeimaliza na kufurahishwa nayo mno!View attachment 2195921
Ebu ngoja nikomae nayo ndo kwanza nimecheki episodes 3 tuYeah! Alimpenda sana Holly ila ukichunguza story ya Tommy ni kuwa alikuwa hajapata upendo wowote kwa wazazi wake ambao ndio watu muhimu kwenye maisha yake akaja kupendwa na watu baki so iyo ndio inamfanya awe na roho mbaya ukiwa snitch kwake na pia awe Loyal ukitokea kumpenda.
Kuhusu Book IV maybe hujaipenda tu wewe binafsi ila wengi hadi washkaji zangu wananipa update kila j3 kwamba huyu Tommy ni chizi kwa anachokifanya humo![]()
Ha ha basi kashaharibu utamuYupo seasons za mwanzo huko bado hajafika huko

Ujasusi wa humu ni hatari.. series ilisukwa, napanga kuicheki tena upya.Kama unapenda ujasusa chukua na hii THE AMERICANS, tumezoea kuona movie nying CIA wanawazidi akili warusi kwenye ujasusi, kwenye hii series wamarekani wanapigwa matukio hapohapo sebuleni kwao na warusi View attachment 2196286
Poa tuEbu ngoja nikomae nayo ndo kwanza nimecheki episodes 3 tu
Naomba link ya kuishusha bossKama unapenda ujasusa chukua na hii THE AMERICANS, tumezoea kuona movie nying CIA wanawazidi akili warusi kwenye ujasusi, kwenye hii series wamarekani wanapigwa matukio hapohapo sebuleni kwao na warusi View attachment 2196286
Mkuuu mazingira ya kazi ndio yanafanya niwe nacheki taratibu sana mkuu sorryUnasubiri nini kuiangalia?
Series moja tamu sana tatizo mwendelezo wake haupo.....The night of
Review 8.5/10
Hili ni bonge la season ambalo limenibamba sana..ni la kitambo kidogo 2016) uwezi jutia mda wako.Hili chuma ni lina "drama" na "crime"
Humu ndani kuna kijana asili ya kihindi, kwa majina yake "Nasir Khan".
Nasir khan anaalikwa kwenye party na rafiki yake wa shule.Mzee wake ni dereva Taxi,So usiku wa mwaliko anamvizia mzee na bi mkubwa wake wako chumbani anaiba funguo ya Taxi ya mzee na kutokomea nayo kuelekea kwenye party.
Njiani anambeba binti kama abiri,Safari yake ya kwenda kwenye party inaishia hapo anajipata yuko nyumbani kwa binti,akiwa kwa binti analewa na kuvuta madawa..
Wanaangukia kwenye kitanda wanafanya anasa,usiku mkali Nasir khan anashtuka ni mda wa kurudi nyumban na ameshachelewa,anarudi chumban anakuta binti kauwawa kifo cha kikatili sana...
Anachanganyikiwa,anaamua kutoroka kwa zile haraka haraka zake na wasiwasi anatoka apande Taxi ya babake bahati mbaya kasau funguo ndani,inabidi arudi na mlango umejiloki teyari kwa ndani..
Je atafanikiwa kuingia na kupata funguo yake?
Atafanikiwa kutoroka bila kukamatwa?
Hapo ndio mwanzo wa visa na mikasa...
Litafute ulicheki hutajutia mda wakoView attachment 2184847