Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kama unapenda ujasusa chukua na hii THE AMERICANS, tumezoea kuona movie nying CIA wanawazidi akili warusi kwenye ujasusi, kwenye hii series wamarekani wanapigwa matukio hapohapo sebuleni kwao na warusi View attachment 2196286
One of the best series za spy nilizowahi kuangalia, Humu Mmarekani anapelekeshwa vibaya sana tena ni true story kabisa.
Dah Ila kuwa spy inahitaji moyo sana na kujitoa kabisa.
 
Ongezea na
TOP BOY
SUBURRA
GOMORRA
GODFATHER OF HARLEM
Godfather of Harlem niliielewa sana aseee..sijui kutakua na mwendelezo au ndio imesha hivyo..

Nilipenda zaidi walivyoingiza harakati za akina malcolm x na wale jamaa wa national of Islam.

Series tamu sana katika harakati za mtu mweusi kipindi hicho cha ubaguzi wa rangi.

#MaendeleoHayanaChama
 
  • Thanks
Reactions: PYD
uliye recommend hii iko vizuri

images (6).jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom