rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,165
- 43,854
Sema if loving u is wrong nliona kama haina uhalisia sana ile movie....Duuuh! Kumbe tupo wengi mimi zamani niliishia season 1 na sikumaliza episodes zote nikaja kushusha seasons zote 5 mwaka jana sasa hivi bado season 5 zingine zote nimefuta uzuri mimi ngeli ya USA hata bila subs nadondoka nayo ila zile pronunciation za Buckingham au Xosa lazima niwe na subs![]()


