Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 769
Nimeicheck hii mzee ipo fresh nimeipenda huyo dada alivyo serious na business yake na loyal kwa wafanyakazi wake.Kwa wapenzi wa drama, hasa hizi za black America kuna hiiView attachment 2103951
Nimeicheck hii mzee ipo fresh nimeipenda huyo dada alivyo serious na business yake na loyal kwa wafanyakazi wake.Kwa wapenzi wa drama, hasa hizi za black America kuna hiiView attachment 2103951
Madam yuko loyal sana kwa wafanyakazi wake, ila ukiingia kwenye 18 zake anakiwasha balaaNimeicheck hii mzee ipo fresh nimeipenda huyo dada alivyo serious na business yake na loyal kwa wafanyakazi wake.

...weka mbali na watotoMkuu upo wapi nikufate unipe hizo seriesWewe unawezaje kuangalia mbona mm nna series zimejaa zinandai haziishi na ziko nyngine nkiangalia hii nasahau hii![]()
Hazihamiki hizo. Unatazama hapoKwang inapakua ila sijui inapojisave![]()
![]()
![]()
natafuta nizihamishe sizion kbsaaa daaah kwel yule alieitoa terrerium nikikutana nae pepon nitamsukumia moton kbsaa
![]()
View attachment 868268
Umeichek The Bureau?
Story inaweza kuwa nzuri sana lkn uigizaji wao ni km bongo movie. Nimeangalia episode 2 naiachaKwa wapenzi wa drama, hasa hizi za black America kuna hiiView attachment 2103951
Ungejarbu kwenda nayo, huko mbele imechangamkaStory inaweza kuwa nzuri sana lkn uigizaji wao ni km bongo movie. Nimeangalia episode 2 naiacha
..
Nimezitazama zote, umeisahau Peaky Blinders, Strike Back
Mbona hii series hamuweki link yake?toka mwaka jana mnaisifia tu na haipatikaniki kirahisiMoto wa kuotea mbali
Mbona hii series hamuweki link yake?toka mwaka jana mnaisifia tu na haipatikaniki kirahisi
Ili uipate andika hivi "Le Bureau des l gendes"netnaija haipo
Iko vizuri carba, Anza nayo...Peaky nnayo ila naipita tu kila siku,ngoja mgao uishe niiangalie
Trailer yake ina shawishiHaya wapenzi wa The Power na books zake iyo nyingine ya Book IV ambayo inazungumzia maisha ya huyu chizi Tommy Egan kipenzi cha watu wengi baada ya Ghost
View attachment 2110159
SanaaaTrailer yake ina shawishi
Iko vizuri carba, Anza nayo...
Kwema?
Tommy fucking EganHaya wapenzi wa The Power na books zake iyo nyingine ya Book IV ambayo inazungumzia maisha ya huyu chizi Tommy Egan kipenzi cha watu wengi baada ya Ghost
View attachment 2110159
Kwema Carba, Karbu sanaNtaianza weekend kwakweli
Kwema aiseh!
Za masiku tele?
itakua hakuimaliz au alitak mangum ngumi ni series nzur kuona marty anavotumia akil kuwash money mpk fbi wenyewe hawaelew jins ga kumkamataUmemaliza Season One? Km umeangalia episodes moja au mbili za mwanzo inaboa lkn ukimaliza at least a season km hujawa hooked iache..To me this is in the level of Breaking Bad na Weeds.
Alaf kingine kuna ile serious comedyitakua hakuimaliz au alitak mangum ngumi ni series nzur kuona marty anavotumia akil kuwash money mpk fbi wenyewe hawaelew jins ga kumkamata
Sent using Jamii Forums mobile app


wajinga wanafanya mambo mengi yakuchekesha alaf wao wenyew wapo serious