Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,896
- 1,698
Duuh nmeandika ila sijaiona aseeeeIli uipate andika hivi "Le Bureau des l gendes"
Duuh nmeandika ila sijaiona aseeeeIli uipate andika hivi "Le Bureau des l gendes"
Basi si utumie hiyo link niliyompa jamaa apo juu #17585Duuh nmeandika ila sijaiona aseeee
ina subtittle maana naona franceBasi si utumie hiyo link niliyompa jamaa apo juu #17585
Duuh mzee hizi ni zama za kuhofia subtitles? Tech si ipo juu sanaina subtittle maana naona france
N kugonga ty sub hazina hata Mb1,anaogopa lugha.Duuh mzee hizi ni zama za kuhofia subtitles? Tech si ipo juu sana
Daah aisee... Aache hizoN kugonga ty sub hazina hata Mb1,anaogopa lugha.
Thanks, mzigo uko vizuri huuView attachment 2111669View attachment 2111672
Naona watu hawauzungumzii huu mzigo.. nahisi ni kwa sababu umeachiwa juzi juzi.
Nilivyoona rate yake sijajiuliza, nimepita nayo. Sasa nishatembeza episode 1 nimeona nisifaidi peke yangu, tufurahi wote kwa show ya huyo jamaa.
Mzigo una season 1 na episode 8 tu. Hutojutia bando lako.
Mkuu tuelekeze tuko wengi, mm series bila subtleties hainogi, mfano nafuatilia if loving you is wrong bt nashindwa kusonga nayo coz haina, ata nikitumia vlc kwa hii series inasema not found.Duuh mzee hizi ni zama za kuhofia subtitles? Tech si ipo juu sana
Nenda nkiri.com search huyo series yako enjoy.Hiyo website movie na series zote zina subtitles kama umedownload movie yoyote unaona subtitle wakati wakuangalia basi angalia kupitia VLC utaona vizuriMkuu tuelekeze tuko wengi, mm series bila subtleties hainogi, mfano nafuatilia if loving you is wrong bt nashindwa kusonga nayo coz haina, ata nikitumia vlc kwa hii series inasema not found.
Shukran mkuu, ngoja nifuatilie na uzuri mmoja mb ni chache san nkiriNenda nkiri.com search huyo series yako enjoy.Hiyo website movie na series zote zina subtitles kama umedownload movie yoyote unaona subtitle wakati wakuangalia basi angalia kupitia VLC utaona vizuri
Nimeisearch kule bila mafanikioNenda nkiri.com search huyo series yako enjoy.Hiyo website movie na series zote zina subtitles kama umedownload movie yoyote unaona subtitle wakati wakuangalia basi angalia kupitia VLC utaona vizuri
Angalia kwenye website ya kimoitv au netnaijaNimeisearch kule bila mafanikio
Duuuh! Kumbe tupo wengi mimi zamani niliishia season 1 na sikumaliza episodes zote nikaja kushusha seasons zote 5 mwaka jana sasa hivi bado season 5 zingine zote nimefuta uzuri mimi ngeli ya USA hata bila subs nadondoka nayo ila zile pronunciation za Buckingham au Xosa lazima niwe na subs 🤣🤣Mkuu tuelekeze tuko wengi, mm series bila subtleties hainogi, mfano nafuatilia if loving you is wrong bt nashindwa kusonga nayo coz haina, ata nikitumia vlc kwa hii series inasema not found.
Kimoi niliidownload kupitia kimoi bt mle hamna option ya subtleties kabisa.Angalia kwenye website ya kimoitv au netnaija
Duuuh! Kumbe tupo wengi mimi zamani niliishia season 1 na sikumaliza episodes zote nikaja kushusha seasons zote 5 mwaka jana sasa hivi bado season 5 zingine zote nimefuta uzuri mimi ngeli ya USA hata bila subs nadondoka nayo ila zile pronunciation za Buckingham au Xosa lazima niwe na subs 🤣🤣
ni kipengele mkuu,yabidi uwe vzr kidg ili niweze kusonga nayo.Nilicheck movie yake nikaona inatoshaHaya wale wapenzi wenzangu wa Snowpiercer basi mzigo wa season ya 3 episode 1 imeanza kutoka tangu j3
View attachment 2096936