Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mkuuu Torrent naipata kwa play store au naiapata wap? Mkuuu msaaada wako
Ipo playstore ila unatakiwa uwe na vitu viwili:
1: Utorrent.
2:Sites ya torrent zipo nyingi ila mimi natumia hii 1337x | 1337x.to Download Free Movies, TV Series, Music, Games and Software

So Nenda playstore download utorrent app then ukishamaliza unaingia kwenye izo torrent sites ambazo kuna movies, series, apps and etc, unachagua movies unayoyataka then una click magnet 🧲 then unachagua kuopen na UTorrent app mzigo unaanza kujishusha.

Mfano upo chini hapo
 
Attachments

  • 20210909131416.mp4
    16.4 MB
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.

Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.

Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.

1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead

Hizo ni baadhi tu..

UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.

1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.The bastard executioner
6.Limitless

7. Jessica Jones
8.The Returned
9.Tyrat
10.Power
Seal Team
Strike Back
Six
 
Weekend yako ukiwa unajiuliza uangalie nini nakushauri download huu mzigo .kama unapenda series za kitumia akili basi hii inaufaa sana na uzuri haina episode nying zipo 8 tuu.
p20381742_b_v13_ab.jpg
 
Inahusu nini?
Huyo aliyeshika maandishi hayo anaitwa nick video yake inasambaa mitandani na inaonesha ikifika views million 5 jamaa anauliwa na watu waliomteka kwahiy familia na polisi wanashirikiana kuzuia isifike views 5M lakin wanashindwa na Nick anaokotwa akiwa amekufa maswali yanabaki ni nani amefanya hilo tukio na kwasababu gani
 
Duh! Interesting.
 
Hawkeye series trailer tayari mashabiki wa MCU iko ina humor nahis ni Christmas movie
 
Ipo playstore ila unatakiwa uwe na vitu viwili:
1: Utorrent.
2:Sites ya torrent zipo nyingi ila mimi natumia hii 1337x | 1337x.to Download Free Movies, TV Series, Music, Games and Software

So Nenda playstore download utorrent app then ukishamaliza unaingia kwenye izo torrent sites ambazo kuna movies, series, apps and etc, unachagua movies unayoyataka then una click magnet then unachagua kuopen na UTorrent app mzigo unaanza kujishusha.

Mfano upo chini hapo
Mkuuu hiv money heist inaendelea tena? Mkuuu
 
Kuna series inaitwa Succesion ni drama HBO nimekutana na trailer YouTube naona watu wanaisifia kwenye comments section sasa sijui kama kuna mtu yeyote anaifahamu? Ili anipe ABC
 
Ila hakuna series ya kiboya kama The Oval
Hii season 2 imetosha nimenawa mikono
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom