Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hii series bwana kuna seasons zimevurugika unaweza poteza direction na usielewe mimi ilibidi zile episodes nizichanganye then nikawa na play moja moja naangalia inayoendelea baada ya pale nikawa na zi rename lkn pia sijapata hadi final.

Kuhusu subtitles nacho ni kipengele nyingi zinapishana na sauti so inabidi ujue kucheza na settings za VLC ya Pc. Mie ninayo baadhi zina subtitles baaadhi hazina.

Lakini series za Tyler Perry hazina English ngumu.
Hii Series nilijikuta niko mbele mara nikarudi nyuma nikaachana nayo, imevurugika haswa
 
Ila ukiipanga zile episode unashuka nayo vizuri mkuu...
Natafuta mwendelezo baada ya Kelly kuchezewa zengwe akaoneka kamuua Ramsey nini kiliendelea.
 
Ni jinsi mlivyodownload kwa kuchanganya ila inaenda kwenye mtiririko mzuri tu
Nilishaachana nayo chief miaka mingi sana, niliiangalia chuo huko mtu tu alinipa, sasa hivi ninayo kwa mtiririko mzuri, inazunguka tu kwenye xternal sijapata mzuka nayo bado
 
Ila ukiipanga zile episode unashuka nayo vizuri mkuu...
Natafuta mwendelezo baada ya Kelly kuchezewa zengwe akaoneka kamuua Ramsey nini kiliendelea.
Ninayo tayari, sema toka wakati ule nilivoiacha naona itanilia muda tu maana visa vya mbele nilishaona na nyuma pia baadhi
 
Ndugu zangu Snowfall season ya 5 imetoka jana tarehe 23/2/2022 na hatuambiani? kweli mna usiri mkubwa

Screenshot_20220224-084847.png
 
Sijaona member yeyote aki-recommend hizi series mbili 1883 na cleaning lady, nazirecommend mimi, zitafute hautajutia mb zako.

1883 ni season 1 ina episode 9 hadi sasa, imebase kwenye story ya familia ya jamaa mmoja anaitwa James Dutton (Tim McGraw) walivyokua safarini kutoka Texas kuelekea Montana (Kama utakua umeangalia Yellowstone basi hii 1883 ndio mwanzo au chimbuko la Yellowstone Ranch)

Cleaning lady ni story inayomhusu dada ambae ni migrant kutoka Philipines (Tonny De la Rossa), professionally ni daktari ila aliingia USA kwa minajili ya kupata pesa na matibabu mazuri ya mtoto wake ambaye ni mgonjwa sana, akiwa katika kazi zake za usafi alijikuta anaingia kwenye genge la wahalifu bila kujijua. Hii naweza kuifananisha kwa mbali na Queen of the south japokua sijui mbele itakuaje, ipo season 1 ina episode 6 hadi sasa.
 
Zote watu walizitaja huko nyuma labda hukupitia izo comments huko nyuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom