Series (Special thread)

Series (Special thread)

The night of nmechek mpaka e09 je imeendelea au tunasubiri s2?
Nan kaangalia american crime story na bojack horseman zikoje?

Tuambizane best new series kwa mwaka 2016 tukiacha upambe wa imdb na wale wazee wa nyanya rotten tomatoes
kuna sarah Lynn 😂 kafa kwa matumizi ya dawa za kulevya kule ukumbini, kiufupi show ni kali kuanzia ile theme song yake kule mwisho ''back in the 90s i was in the very famous tv shooooow...."
 
Natazama ‘die another day’ kitu cha 2002 huko na ni kikali hivi, nimewaza hivi sisi wabongo kukaribia tu kitu kama hiki bado kama miaka mingapi..!??😒
 
Natazama ‘die another day’ kitu cha 2002 huko na ni kikali hivi, nimewaza hivi sisi wabongo kukaribia tu kitu kama hiki bado kama miaka mingapi..!??😒
Siku ukiona wanajeshi wamekubali magwanda yatumike kuigiza kama zile muvi za delataforce basi tutakuwa tumeanza kukaribia huko
 
Siku ukiona wanajeshi wamekubali magwanda yatumike kuigiza kama zile muvi za delataforce basi tutakuwa tumeanza kukaribia huko
wavae hata za nchi nyingine zisizo na ubishoo kama huu wetu, ama na hiyo wanaweza ona wivu tena..!??😁🙌🏾
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom