Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,122
HawkeyeHawkeye (2021)
Seal Team
Nasubiri zikamilike. Me huwa nataka niangalie mzigo wote ukiwa kamili
HawkeyeHawkeye (2021)
Internet ya ofisi , kitonga
10mbps dedicated from Capital Technologies

Kwa wapenzi wa single movies ambao mko dodoma tutafutane aisee nina movies nyingi sana za 2160p mpaka 4K quality. Come grab for FREE, flash yako tu au external.
Sharing Is Caring
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app



Hii fauda ipo yenye lugha ya English?Namalizia hii SEE niruke nayo weekend hii. Watu wengi menishauri niicheki.
FAUDA....SupebView attachment 2047443
basi tunatofautiana, mi napenda niangale episode per week ndio napenda.Hawkeye
Seal Team
Nasubiri zikamilike. Me huwa nataka niangalie mzigo wote ukiwa kamili
Haina ishuFAUDA
Kumbe nayo ukali![]()
basi tunatofautiana, mi napenda niangale episode per week ndio napenda.
Binamu hii kitu kiko poaKuna mtu ameingalia Boardwalk Empire?
Acha niishushe binamuBinamu hii kitu kiko poa
Naomba subtitles za season 5, maana nimezitafuta bila mafanikioGomorrah... season ya tano imeisha,kwangu mimi hii series naiweka kuwa ni moja ya series bora ya kimafia kuwahi kuiona, bonge moja la mzigo,akili nyingi sana!!!
Na hata walivyoimaliza wameimaliza vizuri sana, japo sikutegemea kifo cha Ciro a.k.a The Immortal Dah !!yote kwa yote ni mzigo mkali kuanzia mwanzo hadi mwisho!!
Salute kwa mwandishi wa mzigo huu,jamaa pia ndio aliyetuletea ZeroZeroZero
View attachment 2052367View attachment 2052369
mzigo mkali huo, shusha mkuu.wheel of time ni nzuri? najishaur hapa kabla sijashusha mzigo,,, ambaye ameona naomba story kidogo inahusu nn?
ingia subscene.com hutokosaNaomba subtitles za season 5, maana nimezitafuta bila mafanikio
Resolution 720p