Series (Special thread)

Hiyo gangs of london hawatoi season 2?

Screenshot_20211118-075946.png
 
Narudisha shukrani kwa yule alienishauri kuiangalia SEE.

Ubarikiwe sana.

Kwa wale mnaoendelea na season 2, pale ilipofikia ni mwisho?
Maana sitaki niishie kwenye utamu, nataka nikiangalia nimalize moja kwa moja.

Uvumilivu wa kulaza viporo huwa sina kabisa.

Mfano mzuri tu ni namna 24 ilivyonifanya nikeshe 2 days in a row.
24 nusu inifelisha O Level dah
 
Ndugu yangu Mimi nilisema hivyo humu ndani kuna mtu alinishambulia kweli akasema nna chuki binafsi yaani narudia tena kusema The Oval ni Scandal iliyopooza.. kama unaijua scandal nadhan umensoma kama haujaichek kaiangalie mzee utaona resemblance...sema ile ni way better
Scandal.. moja ya series kali sana sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom