Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Trailer mkuuYoutube umecheck trailer au episodes?
Trailer mkuuYoutube umecheck trailer au episodes?
Hahahaha wewe usipate tabu nenda shusha episode moja tu angalia then uamue uendelee nayo au uipotezeeTrailer mkuu
Powa ila maudhui yake yakoje?Hahahaha wewe usipate tabu nenda shusha episode moja tu angalia then uamue uendelee nayo au uipotezee
Kwa ufupituHahahaha wewe usipate tabu nenda shusha episode moja tu angalia then uamue uendelee nayo au uipotezee
Kuna jasusi wa MI6 aliacha iyo kazi na kujishughulisha kulea familia yake na kazi nyingine za kawaida lakini alizaa before na mwanamke mwingine mtoto wa kiume. Sasa siku anapigiwa simu anatakiwa akasafishe makosa yaliyofanywa na majasusi wengine akiwemo mwanae wa kiume na anaambiwa mwanae wa kiume ameuliwa... Mwanzo alikataa lakini wakamwambia tutaua familia yako so jamaa anaenda lakini anafika baada ya kuua majasusi wengine anagundua mtoto wake hajauliwa na kuna siri nyingine nzito ambazo walidhani ni mission za UK kumbe za kikundi cha watu wazito wenye maslahi yao binafsi kwenye issue za nuclear.Kwa ufupitu
Thanks brother huwa nafatilia sana post zako ukisema hiyo chuma nzuri huwa nafatilia so ngoja ni shushe nianze nayo pole poleKuna jasusi wa M16 aliacha iyo kazi na kujishughulisha kulea familia yake na kazi nyingine za kawaida lakini alizaa before na mwanamke mwingine mtoto wa kiume. Sasa siku anapigiwa simu anatakiwa akasafishe makosa yaliyofanywa na majasusi wengine akiwemo mwanae wa kiume na anaambiwa mwanae wa kiume ameuliwa... Mwanzo alikataa lakini wakamwambia tutaua familia yako so jamaa anaenda lakini anafika baada ya kuua majasusi wengine anagundua mtoto wake hajauliwa na kuna siri nyingine nzito ambazo walidhani ni mission za UK kumbe za kikundi cha watu wazito wenye maslahi yao binafsi kwenye issue za nuclear
Pa1 mkuuThanks brother huwa nafatilia sana post zako ukisema hiyo chuma nzuri huwa nafatilia so ngoja ni shushe nianze nayo pole pole
Inaitwaje mkuu?Thanks brother huwa nafatilia sana post zako ukisema hiyo chuma nzuri huwa nafatilia so ngoja ni shushe nianze nayo pole pole
Deep stateInaitwaje mkuu?
Nimekusoma brother..Deep state
View attachment 1945332
Hii series ikuwa inaitwaje wakuu
Scandal ni nzuri zaidi.... akina Olivia Pope na kile kitengo chaoNdugu yangu Mimi nilisema hivyo humu ndani kuna mtu alinishambulia kweli akasema nna chuki binafsi yaani narudia tena kusema The Oval ni Scandal iliyopooza.. kama unaijua scandal nadhan umensoma kama haujaichek kaiangalie mzee utaona resemblance...sema ile ni way better

Hahahha wakongwe kwenye tv shows ndio tunaijua hii inaitwa Renegade miaka iyo ya 90 ikigiizwa na playboy mmoja anaitwa Lorenzo Lamas ilikuwa sikosi ITV kipindi iko alafu kuna vitoto humu vinakwambia series hii kali kuliko hii ukimuuliza sababu hana sababu ya msingi 🤣🤣🤣....Nabaki kuwadharau tuView attachment 1945332
Hii series ikuwa inaitwaje wakuu
Quantico hamna kitu hapo tumepigwaNimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.The bastard executioner
6.Limitless
7. Jessica Jones
8.The Returned
9.Tyrat
10.Power
Med series ambazo nimevutiwa Nazo niMimi nilizoangalai na kuvutiwa ni
Gray's anatomy
Scrubs
Angle's of mercy
Prison break
New Amsterdam ni bonge moja la show nampenda dr Helen...she’s cute, halafu kwann jamaa hapo hapend Quantico?
Hii kituFamilia moja inajikuta katika wakati mgumu wa kuwindwa na serikali , hivyo wanaamua kutoroka US kuelekea LATIN AMERICA kupitia njia ya hatari ya mexico...
Huwezi juta kuiangalia...View attachment 1944004


Halafu sasa pamoja na kuigiza kama Oncologist, hana ujuzi wowote wa kitaalamu kwenye sekta ya afya.
Na wengi unaowaona pale sio madaktari na wala hawajasomea sekta yeyote inayohusu afya.