Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 769
AminaAliye recomend Ozark aishi maisha marefu!
AminaAliye recomend Ozark aishi maisha marefu!
Bro we ndio mwanagu wa faida ni Dm bro niwe nakucheki maaanaAnhaa! See ni series ambayo imenifanya kila series inayotolewa na Apple TV+ niwe naziangalia ukianzia Tehran mpaka The mosquito coast zote ni kali kwa upande wangu.
So Tehran ni series inayohusu uhasama unaoendelea baina ya Israel and Iran. Sasa hii Israel kupitia Intelligence agency yake ya Mossad kama unavyoona USA wana CIA wanataka kulipua nuclear reactor ya Iran kwa kutumia ndege za kivita ila ubaya hawawezi kutuma ndege za kivita kwasababu Iran wana system ya kudetect ndege za kivita zozote kwenye anga lao ambazo zinakuja kuvamia na automatically zinalipua izo ndege za kivita. So Mossad wanamtuma shushushu wao wa kike ambaye alizaliwa Iran ila akakulia Israel ambaye ndugu zake bado wapo Iran.
Sasa huyo dada ambaye ni hacker anatakiwa akazime iyo system ya kudetect ndege za kivita ili Israel watume ndege zao za kivita kulipua nuclear reactor sasa huyo shushushu wao ataingiaje hapo na pia ndio mission yake ya kwanza?.... kumbe hao Mossad waligundua kuna mfanyakazi wa kike anafanya kazi kwenye kampuni ya umeme ambaye anafanana na shushushu wao ila uyo mfanyakazi anaomba kuhama nchi so wakabadilisha identies na huyo shushushu wa Israel Airport.
Sasa huyo shushushu katinga Iran na anaenda kazini kama Kawa so wakati anaingia kwenye mitambo na kuanza kuhack kuna kitu hawakugundua yule mwanamke aliyebadilishana naye identies moja ya kitu kilichomfanya ahame ni kuwa alikuwa akilazimishwa kufanya mapenzi kinguvu na mmoja wa wasimamizi wa kituo iko. So huyo shushushu wakati anahack jamaa alikuja kutaka abake sasa demu katika kupambana akamuua huyo jamaa so mission ikaingia mdudu na polisi katika kuchunguza wakagundua ni shushushu so demu inabidi aanze kusurvive asikamatwe na wapelelezi wa Iran na pia katika waongozaji wa mission iyo kutoka Mossad kuna mtu ni wa Iran kapandikizwa atoe siri zozote za Israel kwao.
So bonge la series mzee na ina episodes chake kama series zote za Apple TV+
Kumbe season 2 inatoka vip wameachia hata trailerAnhaa! See ni series ambayo imenifanya kila series inayotolewa na Apple TV+ niwe naziangalia ukianzia Tehran mpaka The mosquito coast zote ni kali kwa upande wangu.
So Tehran ni series inayohusu uhasama unaoendelea baina ya Israel and Iran. Sasa hii Israel kupitia Intelligence agency yake ya Mossad kama unavyoona USA wana CIA wanataka kulipua nuclear reactor ya Iran kwa kutumia ndege za kivita ila ubaya hawawezi kutuma ndege za kivita kwasababu Iran wana system ya kudetect ndege za kivita zozote kwenye anga lao ambazo zinakuja kuvamia na automatically zinalipua izo ndege za kivita. So Mossad wanamtuma shushushu wao wa kike ambaye alizaliwa Iran ila akakulia Israel ambaye ndugu zake bado wapo Iran.
Sasa huyo dada ambaye ni hacker anatakiwa akazime iyo system ya kudetect ndege za kivita ili Israel watume ndege zao za kivita kulipua nuclear reactor sasa huyo shushushu wao ataingiaje hapo na pia ndio mission yake ya kwanza?.... kumbe hao Mossad waligundua kuna mfanyakazi wa kike anafanya kazi kwenye kampuni ya umeme ambaye anafanana na shushushu wao ila uyo mfanyakazi anaomba kuhama nchi so wakabadilisha identies na huyo shushushu wa Israel Airport.
Sasa huyo shushushu katinga Iran na anaenda kazini kama Kawa so wakati anaingia kwenye mitambo na kuanza kuhack kuna kitu hawakugundua yule mwanamke aliyebadilishana naye identies moja ya kitu kilichomfanya ahame ni kuwa alikuwa akilazimishwa kufanya mapenzi kinguvu na mmoja wa wasimamizi wa kituo iko. So huyo shushushu wakati anahack jamaa alikuja kutaka abake sasa demu katika kupambana akamuua huyo jamaa so mission ikaingia mdudu na polisi katika kuchunguza wakagundua ni shushushu so demu inabidi aanze kusurvive asikamatwe na wapelelezi wa Iran na pia katika waongozaji wa mission iyo kutoka Mossad kuna mtu ni wa Iran kapandikizwa atoe siri zozote za Israel kwao.
So bonge la series mzee na ina episodes chache kama series zingine za Apple TV+ na mwaka huu watatoa season 2
Mkuu nawezaje kudownlod ikiwa na subtitles moja kwa moja? Inawezekana??ingia hapa kwa movies za kizungu x1377x
Ila hakuna series ya kiboya kama The Oval
Hii season 2 imetosha nimenawa mikono
Mimi navoipendaa ivo nipo zangu season 3 episode ya 3Ila hakuna series ya kiboya kama The Oval
Hii season 2 imetosha nimenawa mikono

Mhm hujaipendaa tyu...sasa unataka wafupishee kwani ni single movie....Story ya kawaida then wanarefusha tu bila sababu zozote, then waigizaji wengi ni kama wanajifunza hawapo kwenye uhalisia.
Shukran ngoja nitaishusha..Angalia House of Cards
Habari Kuna ,mwamba .mmoja alikuwa anauza series nimetafuta namba yake nimeikosa Kama yupo jamani
Kumbe imeshatoka season 2?Sioni wadau humu ndani wakizungumzia hii tv show...
Ni moja ya series nzuri sana ambayo story yake inakubeba,inakufanya utizame kila baada ya episodes inapoisha..
Mzigo hadi sasa una season mbili,zenye jumla ya episodes 12..
Hii ni series ambayo inaelezea miaka ya baadae huko maisha kubadirika na kufanya watu kuanza kuishi kwa kuhama hama baada ya mwanga wa jua kuwa mkali na kuanza kuuwa kila kiumbe hai,hivyo basi inabidi watu waende kuishi sehemu ambayo jua linazama na linapokarbia kuchomoza kuhama tena kwende sehemu nyingine ambayo jua litakuwa linazama..
Ni bonge moja la series,nimeipenda hii series kuanzia storiline na matukio yake..uzuri ni kuwa Netflix wamei dubbed,kwa hyo iko na english version..Itafuteni!!View attachment 1974238
Hahahaha mimi ndio kwanza nashusha s03e04 na siringi wala niniMimi navoipendaa ivo nipo zangu season 3 episode ya 3![]()
Inaitwa premier date newsHii unaangalizia website gani?
Hii nimeicheki kali sana