sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,645
- 8,735
Kwanini?Ila hakuna series ya kiboya kama The Oval
Hii season imetosha nimenawa mikono
Kwanini?Ila hakuna series ya kiboya kama The Oval
Hii season imetosha nimenawa mikono
Story ya kawaida then wanarefusha tu bila sababu zozote, then waigizaji wengi ni kama wanajifunza hawapo kwenye uhalisia.Kwanini?
Wale waigizaji wengi wao ni wapya kwenye game.Story ya kawaida then wanarefusha tu bila sababu zozote, then waigizaji wengi ni kama wanajifunza hawapo kwenye uhalisia.
Story ya kawaida then wanarefusha tu bila sababu zozote, then waigizaji wengi ni kama wanajifunza hawapo kwenye uhalisia.
Itaendelea DisembaMkuuu hiv money heist inaendelea tena? Mkuuu
Kea nini unamchukia?Huyo mseng bora afe ty, sem wanaish characters
Kuna documentary inaitwa Narco Wars ipo katika series inawazungumzia historia ya drug lord wa cartels za Mexico na ColombiaTunaoisubiri Narcos Mexico S03 tujuane mapema. Mzigo unatoka soon...
Mh hii nayo chenga tupu.. yan mpka season 1 inaisha haijulikani jamaa kinachomkimbiza ni kitu gani?Familia moja inajikuta katika wakati mgumu wa kuwindwa na serikali , hivyo wanaamua kutoroka US kuelekea LATIN AMERICA kupitia njia ya hatari ya mexico...
Huwezi juta kuiangalia...View attachment 1944004
Hahaha huo ndo uzuri wakeMh hii nayo chenga tupu.. yan mpka season 1 inaisha haijulikani jamaa kinachomkimbiza ni kitu gani?
Ha ha kila episode unajipa moyo labda inayofuata itajulikana lakini wapi


Yaonekana nzrHuyo aliyeshika maandishi hayo anaitwa nick video yake inasambaa mitandani na inaonesha ikifika views million 5 jamaa anauliwa na watu waliomteka kwahiy familia na polisi wanashirikiana kuzuia isifike views 5M lakin wanashindwa na Nick anaokotwa akiwa amekufa maswali yanabaki ni nani amefanya hilo tukio na kwasababu gani
Mkuuu kwanza inahusu nini nimecheki you tube kidgo kma imepoa sana au itachanganya mbele?Ahsanteni sana watu wote huko kwenye comments za nyuma mlioniambia niitafute Deep state aisee si mchezo ina story nzuri sana
View attachment 1937446
Youtube umecheck trailer au episodes?Mkuuu kwanza inahusu nini nimecheki you tube kidgo kma imepoa sana au itachanganya mbele?