Series (Special thread)

Nimetokea kuto waelews kbsa haws wakorea
Hahahaha ubaya wa series wakorea story zao ni zilezile tu kuliko movie zao Aisee wanaandika sana yaani mimi movies za kikorea naangalia sana ila tv shows zao siangaliii angalau kuna watu wameniambia Squid game ipo tofauti nitaicheck nione
 
Kumbe Hit & Run haitoendelea (Cancelled)
Daah! Kweli mkuu inabidi niifute kwenye lists zangu za series kabla sijaangalia

Screenshot_20211113-223936.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom