Ni Kali sanaOzark nayo kama Break Bad aisee naitafutaaa...
Series kama game of throne, blacklist etc naweza nikazipata kwwnye hyo site?? Naona kama ni special kwa movies za kikorea.kwenye kusearch andika squid game download hapo movie yote
popcorn timeJaman mweny link au torrent ya movie mpya ya Donnie yen,,inaitwa raging fire,, please naomba
Ni app au?pop
popcorn time
websiteNi app au?
Sorry for disturbing you,, but waweza put the link hapawebsite
www.popcorn time.comSorry for disturbing you,, but waweza put the link hapa
Melody blogJaman mweny link au torrent ya movie mpya ya Donnie yen,,inaitwa raging fire,, please naomba
Naipataje hii mkuu naomba link yakeNarudisha shukrani kwa yule alienishauri kuiangalia SEE.
Ubarikiwe sana.
Kwa wale mnaoendelea na season 2, pale ilipofikia ni mwisho?
Maana sitaki niishie kwenye utamu, nataka nikiangalia nimalize moja kwa moja.
Uvumilivu wa kulaza viporo huwa sina kabisa.
Mfano mzuri tu ni namna 24 ilivyonifanya nikeshe 2 days in a row.
Hiyo kaichukue netnaija ipoNaipataje hii mkuu naomba link yake
Resident alien ni tamu sana


hii Tv show kali kiasi chake nilicheka sanaNdo maana ikawa drama serieshii Tv show kali kiasi chake nilicheka sana






Ndo maana ikawa drama series
Ninasubiri season 2 nione yule mtoto aliyepelekwa kwenye sayari ya maelien anarudi ama vip![]()
.. hapo jamaa Hary ambae ndio alien yule anaongea

toka hapo nkasema siiachi hii
Money heistNimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.The bastard executioner
6.Limitless
7. Jessica Jones
8.The Returned
9.Tyrat
10.Power