Snowpiecer... Moja ya series nzuri sana
Inahusu maisha ya baadae kunatokea na baridi kali duniani, hivyo kufanya watu kukosa makazi ya kuishi,wakati baridi kali hilo linatokea kunatokea na Train moja kubwa sana ambayo inazunguka dunia, so ili ujisalimishe na baridi hiko inakubidi upande hiyo Train inayozunguka duniani, na ndani ya Train hiyo kuna classes za maisha, kuna low life, medium hadi high life ndani ya hiyo hiyo Train...
Wakati Train hiyo ikiendelea kuzunguka dunia na baridi likizidi kuwa kali, ndani ya Train hiyo yanaanza kutokea mauji ya watu mbalimbali hivyo inapelekea mmiliki wa Train hiyo ambaye ni mwanamama kutafuta detective wa kuchunguza vifo vya watu hao,,,kwenye hiyo Train detective anapatika kwenye low class...
Hadi sasa mzigo uko na season 1 complete, na season 2 ndio ipo ongoing...
Moja ya series nzuri sana, Hii Snowpiecer miaka ya nyuma huko walishawahi kutoa movie yake nayo inaitwa hivyo hivyo Snowpiecer ya Christ Evans!!