Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Hii ngoma sikuimaliza, kwa sasa naweza kuipataje vipi?Sema unatania! 24 hii hii ya Jack Bauer au kuna 24 nyingine unaiongelea?!
Anyway, siwezi kushangaa cuz' hata siku ya kwanza naiangalia 24, niliona wanazingua!!!! Nilipoona tupo mitaa ya sijui ya Malaysia kule, watu na mapama yao ya ki-Viet ya kulimia mpunga; hapo hapo nikaachana na 24!! Niliiangalia tena miezi kadhaa baadae baada ya kuwa nipo tu home na sina cha kufanya wala kuangalia; ndipo nikakumbuka kuna series nili-dump library!
Anyway, ni bonge la series kama taste yako ni some spy stuff, action, hujuma n.k... ni "FBI" vs Terrorists Stuff series lakini haiwahusishi FBI bali special unit ya kupambana na hao magaidi... call it Counter-Terrorism Unit!
Narudia, ni bonge la series, kuanzia concepts, storyline, plotting n.k huku Main Character, Jack Bauer akiitendea haki character yake kuanzia season 1 hadi 9...
Mkuu hii 24 Legacy ilizuliwa au? Maana mimi nimeishia season 1, episode ya 11.Speaking of 24 ni taam saana kuanzia ile OG ya Jack Bauer mpaka 24 legacy ni motoo
Na kwenye hiyo series kuna Samaritans wenzakoFinch inahusiana na series ya person of interest? Nilijichanganya nikajua umeandika conflict of interest. Niwie radhi mkuu
Inaanza kwa ku bore, lakini ukiiangalia hutojuta. I'm talking from my own experience mkuu.Game of thrones niliikataa siku ile ile nimeiona. Sijawahi kuikubali, na The Originals na Vikings![]()
ndugu unakosa raha hii kitu ina rate ya 9.5 ya imdb kwaio tuliza munkali wakati wa kuangalia ujue utam wakeGame of thrones niliikataa siku ile ile nimeiona. Sijawahi kuikubali, na The Originals na Vikings![]()
hii kitu ni shidaHii Peaky Blinders nlichelewa kuangalia aiseeh ni balaaaa😀
Imeishia kumi BossCondor imeisha tayali?? nmeishia episode ya 7,,waliendelea hadi episode ya ngapi mkuu?
Poa mkuu,, vp Queen of the south imefika episode ya ngapiImeishia kumi Boss
Episode ya 09 Mkuu
Kama unatumia Torrent, chagua files utakazo hapa!
Index of /Serial/24/24 mwenye link inapopatikana inisevu, au jina lake kamili nataka niicheki.
Hahaha the strain shem wako alikua anapata mishtuko 'kelele' wakati wa usiku ila yeye ndo wakwanza kuleta external disc..aliipenda na tuliimaliza yote.The strain , Banshee( PG is highly advised)