Yes, naongelea The AmericansInaelekea unaizungumzia The Americans, kama jibu NDIYO, basi nakubaliana na wewe kwa asilimia zote!! Ile "chenga" tuliyopigwa kwenye season finale, kwa Stan Beeman kuwaachia Elizabeth na Phillip pamoja na kuwadaka redhanded; ile chenga sio ya average series!
Who's Renee?!
Na linapokuja suala la REAL Spy Series, The Americans ipo mbali sana....
Sema unatania! 24 hii hii ya Jack Bauer au kuna 24 nyingine unaiongelea?!Mwenye kuifahamu series ya 24 ipoje msaada, je inavutia? Maana nilijaribu kuiangalia episode ya kwanza ikanishinda.
Mwenye anaweza kunisaidia kuireview?
Speaking of 24 ni taam saana kuanzia ile OG ya Jack Bauer mpaka 24 legacy ni motooMwenye kuifahamu series ya 24 ipoje msaada, je inavutia? Maana nilijaribu kuiangalia episode ya kwanza ikanishinda.
Mwenye anaweza kunisaidia kuireview?
Sijawahi kuichoka 24,natural always iko kwenye maktaba yanguSema unatania! 24 hii hii ya Jack Bauer au kuna 24 nyingine unaiongelea?!
Anyway, siwezi kushangaa cuz' hata siku ya kwanza naiangalia 24, niliona wanazingua!!!! Nilipoona tupo mitaa ya sijui ya Malaysia kule, watu na mapama yao ya ki-Viet ya kulimia mpunga; hapo hapo nikaachana na 24!! Niliiangalia tena miezi kadhaa baadae baada ya kuwa nipo tu home na sina cha kufanya wala kuangalia; ndipo nikakumbuka kuna series nili-dump library!
Anyway, ni bonge la series kama taste yako ni some spy stuff, action, hujuma n.k... ni "FBI" vs Terrorists Stuff series lakini haiwahusishi FBI bali special unit ya kupambana na hao magaidi... call it Counter-Terrorism Unit!
Narudia, ni bonge la series, kuanzia concepts, storyline, plotting n.k huku Main Character, Jack Bauer akiitendea haki character yake kuanzia season 1 hadi 9...
Inahusu nn hii
Quality yake vipKuna kipindi nilijaribu kudownload breaking bad kwa kutumia torrent ikazingua. Nimekuja kufanikiwa nimegundua kwa nilikua napitwa na vingi.
Njia nyingine ya kudownload movie au series unaingia Google baada ya hapo unaandika
Index of...............
Kwa mfano index of breaking bad zitakuja na utadownload kwa kutumia IDM. Hazina MB nyingi.
Sana sana tu,ndo nmeimaliza mchana huu,kaangalie uone utamu wa kua bulletprof anavyowahenyesha wauza ngadaLuke cage vipi inatazamika?

Sio mbaya ipo vizuri kiasiQuality yake vip
Tumia hii Boss
WinRAR
Kaka kuna baadhi ya series ukizifatilia tamu sana hasa hii The American, Yani nilikuwa napata Goosebumps kama nipo kwenye tukio lenyewe. The way hii season ilivyokuwa kali kila nikiangalia najihisi tumbo lina presha muda wote as if mm ndo mrusi.Inaelekea unaizungumzia The Americans, kama jibu NDIYO, basi nakubaliana na wewe kwa asilimia zote!! Ile "chenga" tuliyopigwa kwenye season finale, kwa Stan Beeman kuwaachia Elizabeth na Phillip pamoja na kuwadaka redhanded; ile chenga sio ya average series!
Who's Renee?!
Na linapokuja suala la REAL Spy Series, The Americans ipo mbali sana....
Naunga mkono asee 24 ni habari nyingine kabisa...Sema unatania! 24 hii hii ya Jack Bauer au kuna 24 nyingine unaiongelea?!
Anyway, siwezi kushangaa cuz' hata siku ya kwanza naiangalia 24, niliona wanazingua!!!! Nilipoona tupo mitaa ya sijui ya Malaysia kule, watu na mapama yao ya ki-Viet ya kulimia mpunga; hapo hapo nikaachana na 24!! Niliiangalia tena miezi kadhaa baadae baada ya kuwa nipo tu home na sina cha kufanya wala kuangalia; ndipo nikakumbuka kuna series nili-dump library!
Anyway, ni bonge la series kama taste yako ni some spy stuff, action, hujuma n.k... ni "FBI" vs Terrorists Stuff series lakini haiwahusishi FBI bali special unit ya kupambana na hao magaidi... call it Counter-Terrorism Unit!
Narudia, ni bonge la series, kuanzia concepts, storyline, plotting n.k huku Main Character, Jack Bauer akiitendea haki character yake kuanzia season 1 hadi 9...
The Americans ni habari nyingine ile!! Yaani hapa natafuta muda ili niangalie tena from Season 1 hadi 6.Kaka kuna baadhi ya series ukizifatilia tamu sana hasa hii The American, Yani nilikuwa napata Goosebumps kama nipo kwenye tukio lenyewe. The way hii season ilivyokuwa kali kila nikiangalia najihisi tumbo lina presha muda wote as if mm ndo mrusi.
24 Ipi? Original au legacy???Mwenye kuifahamu series ya 24 ipoje msaada, je inavutia? Maana nilijaribu kuiangalia episode ya kwanza ikanishinda.
Mwenye anaweza kunisaidia kuireview?
Its good to share a birthdate with you Maserati may God grants us peace,health and delightful future happy birthday twin24 Ipi? Original au legacy???
story au actionThe Americans ni habari nyingine ile!! Yaani hapa natafuta muda ili niangalie tena from Season 1 hadi 6.
Amen. May our Almighty God bless us forever.Its good to share a birthdate with you Maserati may God grants us peace,health and delightful future happy birthday twin

Original, legacy nimeshaiangalia.24 Ipi? Original au legacy???