Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kushindana na series nishashindwa aseh, kila siku zinakuja mpya na nzuri zaidi.
Altered Carbon
Cloak and Dagger
Impulse
Luke Cage
Stan Lee the Lucky Man
Deviance
The Gifted
Purge
Dr. Who
Timeless
Luke cage
Jessica Jones
Iron fist
Narcos
The punisher
Dare devil
Power
Flash
Arrow
Cloak and dagger
Legend of tmr
Walking dead na nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Luke cage
Jessica Jones
Iron fist
Narcos
The punisher
Dare devil
Power
Flash
Arrow
Cloak and dagger
Legend of tmr
Walking dead na nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Narcos ni episode 1 tu ndo nimeangalia ila hizo nyingine zote nimeangalia but nimeipenda Power na Walking Dead hautabiri nani atakufa!.. Angalia na Fear the walking Dead sasa!
 
Wadau 24 nimeikubali sana ni moto wa hatari yani bandika bandua. kama ipo nyingine yenye maudhui kama ya 24 anipe jina niipakue.
 
Hahaha the strain shem wako alikua anapata mishtuko 'kelele' wakati wa usiku ila yeye ndo wakwanza kuleta external disc..aliipenda na tuliimaliza yote.

Namkubali sana yule Quinlan Victus

Sent using Jamii Forums mobile app
The strain ni noma aisee ni horror series lakin story na mtiririko wa matukio iko vzr hauwezi predict kijacho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena swali langu Wakuu..
Naomba mtu anipe list ya Season Kali zenye maudhui kama..

1.24
2.Prison Break
3.Banshee
4.Homeland
5.The Brave
6.Strike Back.
7.Designated Survivor
8.American Odyssey
9.Six
10.Seal Team
11.Our Girl
12.Taken
13.Shooter
14.Queen of the South
15.Shots Fired
16.8 Seconds
18.Safe
19.Fargo
20. Dexter
21.Ozark

Please zenye mfanano na hizo. Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena swali langu Wakuu..
Naomba mtu anipe list ya Season Kali zenye maudhui kama..

1.24
2.Prison Break
3.Banshee
4.Homeland
5.The Brave
6.Strike Back.
7.Designated Survivor
8.American Odyssey
9.Six
10.Seal Team
11.Our Girl
12.Taken
13.Shooter
14.Queen of the South
15.Shots Fired
16.8 Seconds
18.Safe
19.Fargo
20. Dexter
21.Ozark

Please zenye mfanano na hizo. Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
1.sharelock
2. narcos
3 condor
4. strange things
5. True detective
6. The chi
7. snowfall
8. house of cards
10. better call saul
 
Narudia tena swali langu Wakuu..
Naomba mtu anipe list ya Season Kali zenye maudhui kama..

1.24
2.Prison Break
3.Banshee
4.Homeland
5.The Brave
6.Strike Back.
7.Designated Survivor
8.American Odyssey
9.Six
10.Seal Team
11.Our Girl
12.Taken
13.Shooter
14.Queen of the South
15.Shots Fired
16.8 Seconds
18.Safe
19.Fargo
20. Dexter
21.Ozark

Please zenye mfanano na hizo. Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
Last ship

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu samahaani kwa kutoka nje ya content ya uzi,

Nahitaji movies zinazoelezea matukio ya nchi za afrika ya vita ya wenyewe kwa wenyew,waasi ama kugombania madaraka,mfano hotel rwanda,john mad dog sarafina n.k

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom