Series (Special thread)

Series (Special thread)

Aiseee tuachane na wale wanawake wanao penda kuangalia korean drama... tuzungumze kuhusu akili nyingi za kizungu..taja unayo ipenda na tumaelezo kwa ufupi...

Me naanza na the 100.. kisa chake ni kua baada ya dunia kushambuliwa na nuclear baadhi ya binadamu walikua waki ishi kwenye anga.... na kutokana na chombo walicho kua wakitumia (ark) kuelekea kuishiwa nguvu.. ikabidi wateuliwe wafungwa 100 ili kuenda duniani kuangalia kama dunia ina ruhusu binadamu kuishi..... sasa walio kua waki yakuta duniani ndo utamu wa movie sasa
Naipenda sana sky people hiyo
 
Kuna series inairwa le casa de papel au money heist ......aaah hii ni shida nimesurrender apa sijacheki series kwa muda mrefu uku nikitabasamu ....awa netflix ni shiiiida.....wameongea kispain ila kwa subtitle pekee unaenjoy aiseee
 
Jamani kuna series moja naitafuta inaitwa FRONTIER.... mwenye kujua namna ya kuipata anambie site gan
Iyo apo mkuu nenda terrarium tv
Screenshot_2018-08-14-21-13-34.jpg
 
President tanz ameikimbia ikulu... Jamaa ana hasira na resyst... Mimi naipenda jinsi mpangilio wake wa matukio ulivyo.... Lengo la tanz ni kuondoa resyst... Ila lengo la resyst bado haijulikani hasa ni nini... Liam atajuta sana.. aisee hebu kaiangalie upya
Sawa
 
NAWEZAJE KUDOWNLOAD SERIES KWA PC, TORRENT ZIPO SLOW
NA INDEXES ZINAHITAJI UWE KARIBU UNARESUME
 
NAWEZAJE KUDOWNLOAD SERIES KWA PC, TORRENT ZIPO SLOW
NA INDEXES ZINAHITAJI UWE KARIBU UNARESUME
Mkisoma comment nyingi humu sio tu za Ku discuss movie wengi wanaelekezwa jinsi ya kudownload na application kibao zinawekwa. Inafika kipindi watu wanachoka kurudia jambo moja kwa Mara nyingi. Soma tu comments utapata
 
Condor E09 imeishia pazuri
Gabriella na Joe wamepata ajali

Ila Gabrielle kamuachia ujumbe mzuri Joe, kuwa kwa sasa utajiona uko safe ila siku moja usiyotegemea, siku ambayo utakua ushasahau , gari itakuja penbeni yako na mtu, pengine umjuaye atashuka na kukuua
 
Condor E09 imeishia pazuri
Gabriella na Joe wamepata ajali

Ila Gabrielle kamuachia ujumbe mzuri Joe, kuwa kwa sasa utajiona uko safe ila siku moja usiyotegemea, siku ambayo utakua ushasahau , gari itakuja penbeni yako na mtu, pengine umjuaye atashuka na kukuua
cheki ep10 gabrielle mzima kabisa kumbe kila mara alikua hamuui Joe coz anamzimia kaenda hadi kumcheki jamaa after 1 year akiwa na kumtakia maisha mema

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom