Series (Special thread)

Series (Special thread)

Same, nasikia kutakuwa na vifo vingi vya main characters sijui ni kina nani
Movie inavyotakiwa kuisha...wale main characters woote wanakufa..

Hii ni kutoka kwenye novel ambayo director katoa story ya game of throne
 
Sijajua kwanini waliicancel labda budget yake!.. ila hilo jina Traveller ndio rafiki yao wa 3 aliyewaset jamaa!..
Ni kisa simple but very well presented, mna rafiki yenu mnasoma wote, yeye hapendi picha!!.. Miaka yote mnasoma nae mkija angalia mnakuta hamjawahi kumpiga picha sura yake kila sehemu lazima alijiziba uso hadi club!.
Halafu yamewakuta na yeye ndio anaweza watetea ila hamna jinsi ya kumpata wala kutangaza kapotea zaidi ya maelezo tu!.
Huyo mwenzao ndiye aliyelipua a see!!
 
Kwa wale wazee Hiphop na historia yake hii ina wahusu sana,,, bonge la series
IMG_20180731_232507_434.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom