leonardo da vinc
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 1,108
- 735
Mi naiona average my be sababu naona imekaa ki highschool movieIpo mpaka season 2. naikubali sana aisee!!
Mi naiona average my be sababu naona imekaa ki highschool movieIpo mpaka season 2. naikubali sana aisee!!
Salvation ni hatariIla maserati ulisema Salvation haina utamu aaaaggghhh acha kbsaa,tamu kuliko icecream walah
Inahusu Nini mkuu?Reliik ni habari nyingine wakuu
Au huwapendi wamerekani na mambo yao... Iko poa... Ujasusi mwingi sana...Mi nimeidharau tu
Inahusu Nini mkuu?
Wadau wanasema ni motoKuna mtu ameitizama hii,, naona rate zake zipo vzrView attachment 830516
Aisee,, ngoja niishushe wa Mexico wapo vzr sanaWadau wanasema ni moto
Si hii ya mwaka 2015 kama ndio ilikuwa poa sana ingawa ilifutwaNi Moto spy serie one of the best
Sijajua ni ya mwaka gani but one of the best mkuu tamu sanaSi hii ya mwaka 2015 kama ndio ilikuwa poa sana ingawa ilifutwa
Saivii nataka kuchekii ingonernabe naona I a sifiwa balaaSi hii ya mwaka 2015 kama ndio ilikuwa poa sana ingawa ilifutwa
Imenishinda tu sasa hivi,naiona ya kiboya flan hivi.Au huwapendi wamerekani na mambo yao... Iko poa... Ujasusi mwingi sana...
President tanz ameikimbia ikulu... Jamaa ana hasira na resyst... Mimi naipenda jinsi mpangilio wake wa matukio ulivyo.... Lengo la tanz ni kuondoa resyst... Ila lengo la resyst bado haijulikani hasa ni nini... Liam atajuta sana.. aisee hebu kaiangalie upyaImenishinda tu sasa hivi,naiona ya kiboya flan hivi.
Unanishawishi Mimi ilinishindaa piaPresident tanz ameikimbia ikulu... Jamaa ana hasira na resyst... Mimi naipenda jinsi mpangilio wake wa matukio ulivyo.... Lengo la tanz ni kuondoa resyst... Ila lengo la resyst bado haijulikani hasa ni nini... Liam atajuta sana.. aisee hebu kaiangalie upya
Ipo patamu sana... President pauline aliuliwa... Kwahiyo rais wa sasa ni Darius Tanz... Liam ni membe wa resyst... Si wakumbuka resyst waliichukua kampuni ya Tanz...Unanishawishi Mimi ilinishindaa pia