Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hivi town hamna wanaouza serious ambazo hazijatafsiriwa?
 
Nimeangalia "series" nyingi sana na katika hizo kuna zile ambazo ni nzuri kupita maelezo. Lakini leo nitaizungumzia GAME OF THRONES! kwangu mimi hii ni moja ya Series zilizochezwa vizuri sana, yaani kila muigazaji alibeba uhalisia wake.

Story yake ni nzuri sana na imejikita katika maisha ya kifalme ya siku za zamani ambapo tunaona jinsi familia saba za kifalme zilivyokuwa zikigombania madaraka(Iron Throne), kulikuwa na familia tisa kubwa katika nchi ya Westeroes lakini familia saba ndizo zilikuwa zikikigombea kiti cha Kifalme. Kila familia ina vituko vyake na hapo ndipo penye utamu hasa.

Huyu binti(Daenerys Targaryen) akiwa mdogo yeye na kaka yake wanakimbilia nchi ya mbali. Huko wanajipanga na kuamua kurudi kuuchukua upya Ufalme wa baba yao uliopinduliwa. Binti huyu anarudi akiwa na Jeshi linaloongozwa na Dragons. Jinsi walivyojipanga na kurudi hapo ndipo pana utamu wake pia!

Series hii imechezwa kwa akili sana kiasi huchoki kufuatilia tukio baada ya tukio. Kuna mengi sana yanafurahisha katika Series hii ikiwa ni pamoja na Cersei Lanister ambaye ni Malkia katili sana akiwa amezaa watoto na kaka yake!
Game of Thrones.PNG

Game of Thrones B.PNG

Game of Thrones sasa hivi imefikia Season ya 7, na mwakani watatoa Season ya 8 na ya mwisho.
 
View attachment 825769
View attachment 825770
Game of Thrones sasa hivi imefikia Season ya 7, na mwakani watatoa Season ya 8 na ya mwisho.
Hatari sana
 
sijaona nyingi sana hapa
wadau mnatumia vifurushi gani kushusha series?
 
Write your reply... Kuna series inaitwa Blacklist jamani ninaipenda sana hasa yule actor Raymond na Dembe.
Ilikua inaonyeshwa azam 1 sasa sijui wamepatwa na nini mana hawaionyeshi tena 😕😕
 
sijaona nyingi sana hapa
wadau mnatumia vifurushi gani kushusha series?
Me natumia halotel... buku Internet bure kuanzia sa 6 usiku... uki jumlisha na kasi ya net usiku ndo swafi kabisa
 
nimecheki siries nying san..
zote mbazozisifia kam the 100, game of thron, traveler etc but hakuna kama GOTHAM ..
qa alieangalia i siriez mpaka ilipo hivi ss atakubaliana na mm pia hii ndo tv show bora na inayongozwa qa kufwatiliwa ivi sasa..
 
The Americans sijawahi kuielewa, tunatofautiana sana aiseee
Hata Mimi mkuu
Poleni sana aisee!! Hiyo inatokea sana tu... binafsi nilishindwa kuzielewa zifuatazo!
-24
-Breaking Bad
-Games of Throne &
-The Walking Dead

Hizo zote nilikaa nazo kwa angalau mwaka bila kuziangalia baada ya kushindwa kuziangalia round ya 1, na zingine ya 2 na hata 3!!
Lakini hivi sasa hizo ni moja ya series zangu bora kabisa!!! Kuhusu The Americans niliielewa sekunde hiyo hiyo!!!
 
Babuuu Game of Thrones ni HABARI NYINGINE, Sijui hizo nyingine ulizotaja labda kaa tena kitako uiangalie ni nzuri Balaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom