Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Ya Jack???it's awesomeOriginal, legacy nimeshaiangalia.
Ya Jack???it's awesomeOriginal, legacy nimeshaiangalia.
The Americans ni 100% Spy Series... kwahiyo, kama ni mpenzi wa spy series, kwa maoni yangu hii ndiyo best spy series ambayo hupaswi kuikosa lakini kama unapenda spy series aina ya 24, then The Americans inaweza kukuboa kwa sababu, hii actions zipo lakini ni chache. Usisahau, ujasusi unaambatana na actions za kimyakimya na sio zile za ki-FBIstory au action


Series hazina ushua mkuuHuu uzi wa kuwaachia mliozaliwa ushuani maaana.....
Umenikumbusha The 100. Niliiangalia nikamaliza Season 1 halafu mitikasi ikawa kibao nikawa sijaendelea zaidi.Aiseee tuachane na wale wanawake wanao penda kuangalia korean drama... tuzungumze kuhusu akili nyingi za kizungu..taja unayo ipenda na tumaelezo kwa ufupi...
Me naanza na the 100.. kisa chake ni kua baada ya dunia kushambuliwa na nuclear baadhi ya binadamu walikua waki ishi kwenye anga.... na kutokana na chombo walicho kua wakitumia (ark) kuelekea kuishiwa nguvu.. ikabidi wateuliwe wafungwa 100 ili kuenda duniani kuangalia kama dunia ina ruhusu binadamu kuishi..... sasa walio kua waki yakuta duniani ndo utamu wa movie sasa![]()

Hata Mimi mkuuThe Americans sijawahi kuielewa, tunatofautiana sana aiseee![]()
We we mkuu unajua the Outpost hatarii Sana hajawahii niangushaOngeza na latest inaitwa Outpost
The 100 iko safi na seadon ya 5 wametoa this year... kama walivo fanya amc na into the badlandsUmenikumbusha The 100. Niliiangalia nikamaliza Season 1 halafu mitikasi ikawa kibao nikawa sijaendelea zaidi.
Wameitengeneza vizuri. Plot, cinematography, location, acting.
Sasa hivi nimerudi kuangalia "Ray Donivan" Season iliyoisha hii 5.
Breaking bad ndo ya kwanza kwenye list ya series bora zaidi duniani za muda wote... vikings ni kibokoVikings naipenda
Kina Rollo
Ragnar luthbrok
Niliipenda 24 kuliko series zote
Niliipenda breaking bad my best series of all time
Niliipenda person of interest
Na nyingine nyingi
Tatizo nini mkuu😂😂Huu uzi wa kuwaachia mliozaliwa ushuani maaana.....
SpartacusSpartacus
- The Gods of the arena
- Vengeance
- Blood and Sand
Bitten season 1 & 2
Power season 1 & 2
Game of Throne season 1 up to 7
sina maelezo


Nitaitafuta niendelee nayo, kuna kipindi ilinzakuwa slow nikaipotezea, ila inaweza kuwa slow halafu, paaa, linaibuka dubwana huko vuruguuu.The 100 iko safi na seadon ya 5 wametoa this year... kama walivo fanya amc na into the badlands