Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hapo nimeona Quantico na wayward pines tu
Kushindana na series nishashindwa aseh, kila siku zinakuja mpya na nzuri zaidi.
Altered Carbon
Cloak and Dagger
Impulse
Luke Cage
Stan Lee the Lucky Man
Deviance
The Gifted
Purge
Dr. Who
Timeless
 
Sijajua kwanini waliicancel labda budget yake!.. ila hilo jina Traveller ndio rafiki yao wa 3 aliyewaset jamaa!..
Ni kisa simple but very well presented, mna rafiki yenu mnasoma wote, yeye hapendi picha!!.. Miaka yote mnasoma nae mkija angalia mnakuta hamjawahi kumpiga picha sura yake kila sehemu lazima alijiziba uso hadi club!.
Halafu yamewakuta na yeye ndio anaweza watetea ila hamna jinsi ya kumpata wala kutangaza kapotea zaidi ya maelezo tu!.
Me napendaga movie zenye visa unanswered kama io
 
Hii series wenyewe wanasema FBI waliagiza iwe cancelled sababu ilikuwa inatoa mbinu za kukimbia vyombo vya usalama...

Among others kuna Crisis inaelezea watoto wa matajiri, mabarozi, wakuu wa vyombo vya usalama na wanasayansi wakubwa walikuwa wanasoma shule moja halafu mtu akawateka wale watoto wote akawa anawapa maelezo... Na uyu mtu aliewateka ni mtu wa CIA ivyo he is smart... Pia ilikuwa cancelled ivyo ivyo

Kuna the event
Iyo bonge la series inaelezea Mshikaji kamaliza chuo yupo na Gf wake on vacation Anarudi anakuta yule mdada amepotea... Hakuna record zake kokote... Yule jamaa yeye na ujuzi wake tu wa computer he takes down assassins, Goverment and aliens... Hatarii saana inatoa nafasi ya kujua vitu vingi vinavyoendelea na uwezo wa kudadavua mambo ikawa cancelled.. Na kuna Zingine kama 2 sizikumbuki majina.
Mbona kama zinazo kua cancelled ni nzur sana
 
Kushindana na series nishashindwa aseh, kila siku zinakuja mpya na nzuri zaidi.
Altered Carbon
Cloak and Dagger
Impulse
Luke Cage
Stan Lee the Lucky Man
Deviance
The Gifted
Purge
Dr. Who
Timeless
Shukrani mkuu,ngoja nizipakue Leo nizicheki kesho..hapo nimeangalia timeless tu
 
Hivi hakuna tv shows yenye maudhui kama ya the messenger hivi au midnight Texas??au yenye mambo ya mungu labda na shetani
 
Sio wanawake wote wanapenda soft series mbona mimi napenda za kibishi sana
Wewe ni wa Arusha?
Nataka nifungue biashara ya KILORITI na Loshoroo hapo KWA Mromboo na series zangu za Kibishi.
Nifanyeje mkuu?
 
Wakuu anayezijua series na politics kama House of Cards ya francis and claire underwood plz naomaba anisaidie
Pia za heist kama lacasa or robberies or war kama the brave
Ideaz wakuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom