Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hiyo hapo mkuu
IMG_20180805_003752_689.JPG
 
Jamani kuna series moja naitafuta inaitwa FRONTIER.... mwenye kujua namna ya kuipata anambie site gan
 
Mwenye kuifahamu series ya 24 ipoje msaada, je inavutia? Maana nilijaribu kuiangalia episode ya kwanza ikanishinda.

Mwenye anaweza kunisaidia kuireview?
ni bonge moja la series keep watching utaenjoy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom