Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,582
Why American Odyssey cancelled?Cancelled lakini zilikuwa best for me
The event
Missing
The crossing
American Odyssey
Tyrant
Why American Odyssey cancelled?Cancelled lakini zilikuwa best for me
The event
Missing
The crossing
American Odyssey
Tyrant
Black sail inahusu nnNikimaliza black sail nitaiangalia
Hii pia inahusu nn mazeeCondor arid ushaichek?
Absentia niliipata nimemaliza jana.OK malizia na
condor
Absentia
The oath
Nafikiri wame cancell series ambazo zina rate ndogo zitakuja kurudi rate yake ikiongezekaWhy American Odyssey cancelled?
Cheki 02tvseries mzeewadau naomba link ya shooter season 3
Hii breaking bad ndo ile ya yule lecture mkemianashauri kwa wapenzi wa series mtafuteni kitu kinaitwa BREAKING BAD,bonge moja la la series ingawa sio latest sana
Ndo iyo iyo yani mie sichoki itazama natamani iwe na muendelezoHii breaking bad ndo ile ya yule lecture mkemia
Unawza angalia hakuna scenes mbayaWadau, series ya shooter inafaa kuiangalia na familia/ public? Hakuna scenes mbaya mbaya?
Poa poa,, rate zake zipo juu
Okey, asante mkuuUnawza angalia hakuna scenes mbaya
unataka technolojia ipi labda...maana kila zama na technolojia yake.... hata zama za 1980s to 1990s kulikuwa na technolojia yake iliyokuwa juu kwa kipindi hicho... na hii series imejikita kwenye espionage and counterintelligency kati ya KGB NA FBI ....... bado sijaona series yenye stories kali kama hiiHaina tecnology kidgo hii
Yaani hizi series TAKEN wamempa uwezo mkubwa sana jamaa kila mission anafaulu kila mission anafaulu hata JACK Baoue zingine alikuwa ana feli sio kama star wa humu ilinichosha nkaacha season one, Ukija QUANTICO niliikataa humu humu ina maflashback mengi inawachanganya watazamaji nikaaicha season 2.. Designated Survivor ilianza vizuri sana ...ilipokuja season two full politics no action as mostly thoughts of it yaani ikanikata genye zote.... The crossing wameikata kama THE EVENT kuna vitu nafikiri wanavificha maana the crossssing na the event ni kama kulwa na dotto maudhui ni yale yale nacho nilikihisi tu ..na kuna mdau humu alisema isipocancelliwa hii sijui mara paaaaap KAAAA-TA.Zimekuwa Cancelled na ABC
The Brave
Designated survivor
Quantico
Lucifer
Taken
The Crossing
Haina actions kiviiile ila in matukio hatari sana.Karibu mwaka umepita sikuwahi kuiangala Breaking Bad.... Leo nimeikuta katika files zangu nimeanza kuiangalia Duh najuta kutotilia maanani maoni yenu...
Ni the best aisee,
Money Heist Season 1 Episode 11 [S01E11] Torrent DownloadMkuu money heist naona toxicwap haipo naweza ipata tena