Series (Special thread)

Series (Special thread)

Haina tecnology kidgo hii

Mkuu,
Ni huhalisia tu, nimetizama hii show kuanzia season ya kwanza mpaka ya sita sasa sijawai kuona mtu anatumia handset, ni landlines tu na hata mavazi na computer ni za miaka hiyo.
 
Pc sijajua maana mi natumia kwa simu ndugu Tiasa,jamaa da vinci atakuja kukujib hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom