Series (Special thread)

Series (Special thread)

Jaman mwenye series inayobamba kdgo anipe wakat nasubiria nyingine
 
ni nzuri?
upload_2018-7-6_10-27-32.png
 
Mbona season 2 imeisha bila kueleweka? Kwan hera zimeenda wapi?
Hahaha pesa zilitoka nadhani zingine waliondoka nazo prof na helinski kwenye truck yao... but kuna season 3 next year stay tune, i cant wait
 
Asante ila ni rar. Badala ya mp4 hazijacheza naplay kwa MX player kwenye simu yangu na sina pc ya kufanya converter
Nifanyeje chief
Mkuu kama unadownloadia simu na unataka kuhamisha kwa Pc Ni lazima uwe na Window Archiver (winrar) coz hilo file linakua katika mfumo wa .rar ambayo itakuwezesha kuextract hilo file liwe video ya kawaida.
Kwa simu unaweza download app playstore RAR application na ukaextract hiyo. Zip file
Todaytvseries2.com wako njema sana na wanaweka ontime size hua ni mb 185-225 tu per episode.....nawaaminia sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom