FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Yeah series..itafuteSeries?!...siijui
Yeah series..itafuteSeries?!...siijui
Ka unatumia simu download na install application kama u torrents,bit torrents, fluid au vuze kutoka play store then bonyeza hiyo link itakuletea page bonyeza palipoandikwa get this torrent direct itakupeleka kwenye page ya apps moja wapo uliyoinstall bonyeza palipo andikwa add itaanza kudownloadMkuu naomba nelekeze apa namna ya kupakua.
Kama link inatoka katika site ya lime torrent chagua episode ya series/movie yenye quality na aina itakayoendana na kifaa utakachotumia kuiangalia pia yenye seeders wengi ibonyeze kisha itakuletea page bonyeza palipoandikwa magnetic link then itakuletea downloader apps ulizozi install chagua moja wapo itaanza download!Mkuu naomba nisaidie namna ya kushusha vitu kupitia utorrent ..Mimi Bado sjajua mkuu
Magnetic site tumia limetorents au pirates bay ikikutatiza ni pmMkuu naomba nisaidie namna ya kushusha vitu kupitia utorrent ..Mimi Bado sjajua mkuu
No need ya malipo ukinunua tuwasiliane tuone namna gani naweza kukupatiaNimepitia huu ''Uzi'' kinaga ubaga.Nakupongeza mkuu uko vizuri kwenye series. ...
Nina ombi nina mpango wa kununu external hard disk soon.Unaweza nipatia series hata kama ni kwa malipo?
Ishatoka! Ina episode mbili mpk saiv na kila ijumaa inatoka episode mpya!
Kwenye simu tumia kat ya hiziNaweza kuzi download kwa kupitia website gani jombaaaa
Tafuta strike back, into the badlands na single movie inaitwa black panther.Nina 10GB hapa alafu nina IDM kwenye pc,alfu siku yangu ipo ovyo naumwa siezi toka ni series gan mpya nzur
Strikeback season 6 ushaangalia?Izo za zamani asee broo ila into the badland naeendelea nayo yan nataka series ya mwaka huu au mwaka jana mwishoni
My best spy series... ndo inaisha hivyo na wala sijaona mbadala wake!!The Americans imekaribia mwisho, huko Chicago walipoenda ndo wanaenda gundulika
The crossing imekuwa cancelled linZimekuwa Cancelled na ABC
The Brave
Designated survivor
Quantico
Lucifer
Taken
The Crossing
Jack Bauer arudi kwenye series za full action n spy similar to 24 hrs, huko kwingine anafanya vzr but hapamfai kbs!Zimekuwa Cancelled na ABC
The Brave
Designated survivor
Quantico
Lucifer
Taken
The Crossing
Dah hii the crossing wamenivurugaZimekuwa Cancelled na ABC
The Brave
Designated survivor
Quantico
Lucifer
Taken
The Crossing
Mdau hii imenikamata sana.kwa wale wapenzi wa SIREN, hii kitu ni hatari
Ndio one of the best series of all time yaani kwenye watching rates ina compete na GOT tu!