Series (Special thread)

Series (Special thread)

Guys natafuta series ya empress chunchu, flower prison na Athena

Ni za kikorea
 
Umo Umo kwenye hiyo link inakuja Kama na kavideo flan kana alama ya kuplay.. kaclick kataonyesha chini previous, next na mengine mengine scroll chini Kuna options mbili za kuvuta kupitia magnetic au torrent... Click unayopenda mzigo huo
Shukrani mkuu
 
Kuna kipindi nilijaribu kudownload breaking bad kwa kutumia torrent ikazingua. Nimekuja kufanikiwa nimegundua kwa nilikua napitwa na vingi.
Njia nyingine ya kudownload movie au series unaingia Google baada ya hapo unaandika

Index of...............
Kwa mfano index of breaking bad zitakuja na utadownload kwa kutumia IDM. Hazina MB nyingi.
 
Hata ukitumia simu? Au ni kwa PC tu?
 
MIMI BLACK MIRROR NIMEIKUBALI NAYO
Black_Mirror-font.jpg
 
Kuna kipindi nilijaribu kudownload breaking bad kwa kutumia torrent ikazingua. Nimekuja kufanikiwa nimegundua kwa nilikua napitwa na vingi.
Njia nyingine ya kudownload movie au series unaingia Google baada ya hapo unaandika

Index of...............
Kwa mfano index of breaking bad zitakuja na utadownload kwa kutumia IDM. Hazina MB nyingi.
Ha ha ha ha ha. Breaking bad ni habari nyingine
 
unataka technolojia ipi labda...maana kila zama na technolojia yake.... hata zama za 1980s to 1990s kulikuwa na technolojia yake iliyokuwa juu kwa kipindi hicho... na hii series imejikita kwenye espionage and counterintelligency kati ya KGB NA FBI ....... bado sijaona series yenye stories kali kama hii
Inaelekea unaizungumzia The Americans, kama jibu NDIYO, basi nakubaliana na wewe kwa asilimia zote!! Ile "chenga" tuliyopigwa kwenye season finale, kwa Stan Beeman kuwaachia Elizabeth na Phillip pamoja na kuwadaka redhanded; ile chenga sio ya average series!

Who's Renee?!

Na linapokuja suala la REAL Spy Series, The Americans ipo mbali sana....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom