donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,129
Yeah kweli aisee, ila kuna muda sasa lucia alimwabia dingi yake christos has been dead for yearsHujaona pale ambapo walikuwa wanakula kama kumuaga hivi baada ya ku graduate akasema hataki kuishi kwenye meli anataka akaishi nchini kwake? Baadae akaonekana alivamiqa akapigwa sana ndio akafa. Baba ake akaenda,akalia sana. From there baba ake ndio akaanza kutumia nostos.


