man of steel
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,099
- 2,356
Prison break mwaka huu kwenye mwezi wa 4 walitoa season 5 ( prison break: Ressurection)Hivi Strike Back na Prison Break zimerudi tena au?
Prison break mwaka huu kwenye mwezi wa 4 walitoa season 5 ( prison break: Ressurection)Hivi Strike Back na Prison Break zimerudi tena au?
Na mimi nangojea jibu hapa,,Seal Team mazee vip ...ni qalii?? Naivutia kasi apa..
Balaa hii season kaliiimarvel inhuman mashine tata
Ndio niko nashusha hapa mubashara nione maujanjaLast ship wametoa E09 na E10 kwa mpigo na S04 ndio imeishia hapo sasa tusubirie S05
Sijaangalia new episodes, mbona imeisha mapema hivyo!!!
Hatari huko. Changanya changanya kina lucia. Slattery anakuambia we must have a smart fight..piga haooooooooooNdio niko nashusha hapa mubashara nione maujanja
Wametoa episode 2, 09 na 10 finaleSijaangalia new episodes, mbona imeisha mapema hivyo!!!
Unatumia Tekno mkuu...?
Aisee nimekubali, ogopa sana the Cris Kennedy maneuver, ni shida. Halafu inamaana christos mtoto wa dr vellek alikua ashakufa kitambo sema ni stimu tu za nostos ndio zilikua zikimpelekea afeel presence yake ama veepe? Sielewi ujue. Naona nolan naye kajipatia call sign "Cupid".-daah acha tu, ngoja nichek sasa season le finaleHatari huko. Changanya changanya kina lucia. Slattery anakuambia we must have a smart fight..piga haoooooooooo
Hapana mkuu, HuaweiUnatumia Tekno mkuu...?
Inaonekana itakuwa na action za nguvu... Ni nzuri kwa wapenda Science Fantasy. Au sijui ipo kwenye kundi gani hasa...!marvel inhuman mashine tata
Nna shida na hiyo spartacus isiyotafsiriwa, ntaipataje mkuu1-The vikings
2-Da vinci demons
3-Spartacus
4-The tudors
5-Vampire diaries
Hujaona pale ambapo walikuwa wanakula kama kumuaga hivi baada ya ku graduate akasema hataki kuishi kwenye meli anataka akaishi nchini kwake? Baadae akaonekana alivamiqa akapigwa sana ndio akafa. Baba ake akaenda,akalia sana. From there baba ake ndio akaanza kutumia nostos.Aisee nimekubali, ogopa sana the Cris Kennedy maneuver, ni shida. Halafu inamaana christos mtoto wa dr vellek alikua ashakufa kitambo sema ni stimu tu za nostos ndio zilikua zikimpelekea afeel presence yake ama veepe? Sielewi ujue. Naona nolan naye kajipatia call sign "Cupid".-daah acha tu, ngoja nichek sasa season le finale
Sent from my CAM-L21 using JamiiForums mobile app