Series (Special thread)

Series (Special thread)

U mean Telegram hii ya same to Whatsapp? How does it operate?
Yap hiyo hiyo Telegram iko vizuri sana kuna kitu kinaitwa channel ambazo zinakuwa unajoin kama vile movies,series,music,software etc
 
Weeee nitake radhi.. Tutakula nini akiacha kazi white house???
Babe alitakiwa as PR na yule chalii but Emily kamrudisha kwenye mstari,do you know my babe is such a gentleman aliomba msamaha mbele ya waandishi wa habari...my seth
Hahah yaan ugentoman labda ru humu ukimwangalia kwenye harold & kumar ndio utajua baby wakko ni chizi kupitiliza.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom