Hii nimetumia Siku NNE kuiangalia yote.. Ni motoooBreaking bad ni ya kitambo sana mkuu . Iliisha mwaka 2013 ina season tano ni crime drama series nzuri sana
Hii nimetumia Siku NNE kuiangalia yote.. Ni motoooBreaking bad ni ya kitambo sana mkuu . Iliisha mwaka 2013 ina season tano ni crime drama series nzuri sana
Naomba link ya season 3... Kwenye torrents naona s2
Series ina story nzuri inaonyesha vijana wanavyotoka na kuenda kujiunga na ISS huko SyriaThe state naambiwa ndo top of the town kwa sasa vip kwa mlio ichek ina husu nn?
Hii nimetumia Siku NNE kuiangalia yote.. Ni motooo
Hahahaaaa sio kwa kuni miss huku best...
Umepota sana humuHahahaaaa sio kwa kuni miss huku best...
Nakushauri endelea hiyo last ship pleaseMazee za mda..!! Natumai mu wazimaa ..
The Good doctor dah! Imeanza vizuri kiasi chaqee. .
Last ship ndo niko episod ya sita season one(naenda mdo mdo mnoo, sjui kwnn)
The exorcist kimtindo ni qalii. .
Designated Survivor. .mambo co mabaya
The Flash. .ni balaa ..list ndo kaa ivo yani
Ip ingine qali niongeze apo?
Yaaah sure... Nipo jukwaa la science and Tech...Umepota sana humu
Nenda googke andika EZTV af search hapo itakuletea series zote unazotakaYaaah sure... Nipo jukwaa la science and Tech...
Hata humu always napita sana ila kimya kimya.
Nisaidie link ya if loving you is wrong, maana Terrarium inazinguaa wangu.
Vipi quality ya picha iko poa, maana hizi series za kwenye site wana zi bana sana, zinakuwa na poor quality tofauti na za kwenye tottents.Nenda googke andika EZTV af search hapo itakuletea series zote unazotaka
Yote 9 sy sio kwa uoga ule jamani, nilicheka sana.Hawa watu mie wananiacha hoi sana sana saaaanaaa
Yaani sylivester ni muoga balaa..Yote 9 sy sio kwa uoga ule jamani, nilicheka sana.
Ila he has a heart of gold.Yaani sylivester ni muoga balaa..
Yaani sylivester ni muoga balaa..
Ep 3 zishatokaKwa anaependa kufuatilia LETHAL WEAPON naona season 2 imeshaanza kutolewa kwa two episodes mpaka sasa,,