amaizing grace
Member
- Sep 24, 2014
- 41
- 27
Hey seas02??
Nlikuwa ban asee nimeptwa sana....jukwaa la siasa lishakuwa sioo



polee. Yes imetoka jana. s02 E01Sema wewe. Maana kule kama lugha ndio sio aiseee mmmh. Unaichukia,ila kusema sio nzuri katoa bokoWe hujui movie mkuuu....
Designated movie nyingine ile....labda lugha barrier
I was deeply inlove with The Unit jamaniThe Unit
Viongoz wa nchi?.niaje..
Viongoz wenywe wasukuma washamba tu...
Wanaangalia bongo movie huku wanashushia na viaz vitamu...ahhh waptehv asee







Ile.ni noma.sana aisee. Mke wa marck aligongwa na col.TomI was deeply inlove with The Unit jamani
Designated ni nzuri ila 24 ni zaidi24 legacy kali ila yule dogo bado anawenge sana..hajatuliaa anashow live kwamba anaigiza.....
Bt designated ni next gen movie aseee...
nani huyo anasema designated mbaya ?Sema wewe. Maana kule kama lugha ndio sio aiseee mmmh. Unaichukia,ila kusema sio nzuri katoa boko
nani huyo anasema designated mbaya ?



Someone out there..tafuta comment huko juu.
Hivi O2 series quality ikoje?Ngoja niisubiri kwenye o2 series
Ipo kipolitical sana designated Ila nzur sanaHata designated survivor haipo kivile sana ila 24 ni balaa
Katumia akili nying sana juz huyu jamaaNasubiri kuona mafekeche ya "Raymond reddington"
Jaribu toxicwap.comHivi O2 series quality ikoje?
Huyu political directir ana mbwembwe sijawah onaSomeone out there..tafuta comment huko juu.
Nadhani hajakutana na team nzima
President
Hannah
Emily
Seth
Aron
Na sasa hivi kaongezeka political director![]()
Ana mbwembwe hatari sana. Yaani can't wait for the ep02Huyu political directir ana mbwembwe sijawah ona
Duh! Hizi makitu ni za mupya eeeh!! Nipo na mporipori wa 700s Ragnar wa Vickings kwanza, hizi za mupya ngoja nifugefuge kwanza zinenepe kama Hadija KopaSeal team na the brave naona zimeanza vizuri sana
Sijakupata vizuri mkuu.Good news nataka niwashilikishe hasa kwa wadau wanaotumia mtandao wa halotel mmeona hapo wadau
Hapa mwenzunu najipatia gb5 za internet kwa gharama nafuu kabisa na nimecheki movies na series za kutosha.
NB: unapata kwanza bando(ninahakikisha umepata kwanza bado) kisha unalipia
0758477251 waweza nipigia,nibip au ntumia meseji
Kwanini?Hiyo ray don sikuipenda nikaiacha.